14-10-2024: Siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere, ila nitamuombea pumziko jema la amani

14-10-2024: Siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere, ila nitamuombea pumziko jema la amani

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa akaitumia atakuwa DIKTETA NA ATAUMIZA WATU.

Pamoja na kuliona hilo (nampomgeza kwa hilo),bado hakuibadilisha kwa vile ilikuwa inampa yeye U-MUNGU mtu kutawala kirahisi without being challenged /facing opposing views!

Angalia sasa madikiteita wa kiume na kike wanavyoitumia kuua, kuteka, kupoteza , kuminya demokrasia ya watanganyika!

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, AS LONG AS HE HEADED THE INSTRUMENT OF OPPRESSION, SIWEZI KUMUENZI!

Ukiacha hilo hapo juu, kwa mengine alikuwa mfano bora eg, kutokuwa Mwizi. UAMINIFU
 
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa akaitumia atakuwa DIKITEITA NA ATAUMIZA WATU.

Pamoja na kuliona hilo (nampomgeza kwa hilo),bado hakuibadilisha kwa vile ilikuwa inampa yeye U-MUNGU mtu kutawala kirahisi without being challenged /facing opposing views!
Angalia sasa madikiteita wa kiume na kike wanavyoitumia kuua, kuteka, kupoteza , kuminya demokrasia ya watanganyika!

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, AS LONG AS HE HEADED THE INSTRUMENT OF OPPRESSION, SIWEZI KUMUENZI!

Ukiacha hilo hapo juu, kwa mengine alikuwa mfano bora eg, kutokuwa Mwizi. UAMINIFU
Mungu alitupa/ametupa akili na utashi akili hizi tunazitumiaje pamoja na baba wa taifa mwalimu Nyerere kutukumbusha kwamba tuna katiba mbovu,

Mimi nasema tatizo ni jamii yetu ni bongolala, jamii ya bora liende ama kanyaga twende utawalaumu watawala wakati kumbe tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linanzia kwenye ngazi ya familia,

Kuna vitu ukivihoji kwenye familia utaambiwa kama umekua uondoke, hiyo tabia ya kukata kuhojiwa jamii imeibabe, (ishi nayo), kwenye ngazi zote za maisha.

Washika tonge kama utatumia tungo tata za kusababisha kunyang"anya matonge yao, watakuteka na watakupoteza ama kuku- pyuu pyuu, (kukushughulikia)
 
You know nothing about him lakini pia ni mtazamo wako uheshimiwe .
Umezaliwa lini? You must be of a tender age!
Umewahi kusoma kitabu hiki? Mnalishwa ujinga na watawala bila kufanya utafiti wowote kuhusu hawa "mashujaa" wetu.

Ninachokiri kutoka moyoni , from the innermost chamber of my heart ni kuwa of them all Nyeree is far far far better!

1728806871274.png
 
Hakuna kitu ambacho hakina mabadiliko, tujilaumu sisi kwa kushindwa kubadilisha Hio katiba, sa hivi Dunia imejaa technology ya Kila aina, watu wanapambana kuvumbua vitu sio kukaa chini kuwalaumu Babu zao kwanini hawakuvigundua!!!
Where is Soka? wapo wengi walitaka kubadili/"kuvumbua" ambavyo mababu hawakuvivumbua akina SOKA et al! Think deep before you blsme!

1728807407006.jpeg
 
Kama hadi baada ya miaka almost 40 ya utawala wake, bado analaumiwa yeye. na sisi tumeshindwa kubadilika basi tatizo lipo kwetu
 
Hata wewe unaporudi nyumbani na matembele na dagaa za nyama, watoto wako huwa wanakuona kama umechanganyikiwa. Yaani umepita bucha zote za samaki na nyama!.

Lakini huwezi kufanya kila kitu. Viongozi si malaika.

Pia nchi ilikuwa changa, mtoto mchanga anatakiwa kuwa chini ya udhibiti, hasa wakati huo nchi inaingia vyama vingi, maamuzi mengi ya wananchi yalikuwa ya mihemuko. Kama si dola ku-reserve baadhi ya haki za kidemokrasia na kuisimamia nchi sawasawa. Nvhi ingepasuka.

Imagine NCCR ya Mrema ingechukua nchi, halafu baada ya mwaka inapasuka, imagine CUF! au Mtikila. Katiba hii ilisaidia kuwafinya kidogo ili kuipa jamii muda wa kuyazoea mabadiliko yatembee katika mishipa yao ya damu.

Katiba hiyo ilikuwa "blessing in disguise" Ilitubariki japo kuna vitu v ilikuwa vinaumia.

Hata katiba ya warioba, tusiwe na haraka sana, kuna Mambo ya kujifunza, binafsi nadhani watu wa idara ya katiba Wizara ya sheria na ofisi ya Rais Ikulu wanaangalia impeachment ya Gachagua na kuchukua natisi ili upumbavu kama huo wa kudhalilisha viongozi usitokee kabisa hapa Tanzania
 
Yes Nyerere alituandaa kutohoji! ndilo kosa alilolifanya ukiongezea na katiba aliyoiacha
Lakini Mungu ametupa akili na utashi kumbuka kila mtu atakufa, sisi tunaendelea kudundazi, tatizo ni jamii yetu ni bongolala
 
Miaka karibia 40 bado tunalaumu kitu ambacho kiuhalisia tunaweza kukibadikisha, are we doomed?

Mwenzako aliifanyia reformation 1977 akakaa miaka saba-nane akaondoka, leo hii miaka 39 baadae unakuja kumlaumu kweli?
 
Back
Top Bottom