14-10-2024: Siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere, ila nitamuombea pumziko jema la amani

kwa mengine alikuwa mfano bora
Nakufananisha na msafiri ambaye anapita nyikani Toka mwanzo WA safari mpaka anafika hajageuka nyuma.
20231014_130156.jpg
 
Kama hadi baada ya miaka almost 40 ya utawala wake, bado analaumiwa yeye. na sisi tumeshindwa kubadilika basi tatizo lipo kwetu
uko sahihi, lkini nguzo ya kutufanya tusibadilike aliisimikayeye!
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
Miaka karibia 40 bado tunalaumu kitu ambacho kiuhalisia tunaweza kukibadikisha, are we doomed?

Mwenzako aliifanyia reformation 1977 akakaa miaka saba-nane akaondoka, leo hii miaka 39 baadae unakuja kumlaumu kweli?
Kulaumu tu haisaidii mabadiliko yanaletwa/yataletwa na nani?
 
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa akaitumia atakuwa DIKTETA NA ATAUMIZA WATU.

Pamoja na kuliona hilo (nampomgeza kwa hilo),bado hakuibadilisha kwa vile ilikuwa inampa yeye U-MUNGU mtu kutawala kirahisi without being challenged /facing opposing views!

Angalia sasa madikiteita wa kiume na kike wanavyoitumia kuua, kuteka, kupoteza , kuminya demokrasia ya watanganyika!

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, AS LONG AS HE HEADED THE INSTRUMENT OF OPPRESSION, SIWEZI KUMUENZI!

Ukiacha hilo hapo juu, kwa mengine alikuwa mfano bora eg, kutokuwa Mwizi. UAMINIFU
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Utashi utaufanya mbele ya madikiteita?
Ndiyo hapo ninapo papenda kwamba hatuwezi kuleta mabadilko hadi hapo mafuvu kwenye jamii zetu za kiafrica yatakapo rudishiwa akili, na akili haziwezi kurudi hivi hivi hadi jamii ipate changamoto mbalimbali, (uncertainties),

Changoto husababishwa na majanga ya asili, taarifa, (information and media), na binadamu mwenye akili na asiye nazo, (normal and smart people)
 
changamoto za kuwindwa na akina "Mafwele" as per SATIVA, huwezi kuzilinganisha na natural disasters which can be confronted by scientific and physical means! UMKHONTO WESIZWE???? why go that way?
 
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa akaitumia atakuwa DIKTETA NA ATAUMIZA WATU.

Pamoja na kuliona hilo (nampomgeza kwa hilo),bado hakuibadilisha kwa vile ilikuwa inampa yeye U-MUNGU mtu kutawala kirahisi without being challenged /facing opposing views!

Angalia sasa madikiteita wa kiume na kike wanavyoitumia kuua, kuteka, kupoteza , kuminya demokrasia ya watanganyika!

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, AS LONG AS HE HEADED THE INSTRUMENT OF OPPRESSION, SIWEZI KUMUENZI!

Ukiacha hilo hapo juu, kwa mengine alikuwa mfano bora eg, kutokuwa Mwizi. UAMINIFU
We usipomuenzi sisi tutamuenzi. Wakati huo babu yako alikuwa wapi we unakuja kuleta ujanja pori sahizi. Kama babu yako jinsi ambavyo hakuwa na issue kipindi hicho ni kama wewe sasa hivi.
 
Kuenzi siku aliyokufa Mwalimu badala siku aliyozaliwa ni upumbavu wa kiwango cha juu sana. Hii inaashiria kuwa wanazima na kuzifukia fikra zake. Chadema mkiingia madarakani futeni huu upumbavu.
 
Pumziko jema ameshapata miaka mingi sana, wala hahitaji msaada wako.
 
Nchi inatawaliwa kwa Katiba na sheria zinazotokana na Katiba. Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa alijua fika kuwa katiba yetu ni mbovu na akasema bayana kuwa katiba hii ni mbaya akitokea Kichaa akaitumia atakuwa DIKTETA NA ATAUMIZA WATU.

Pamoja na kuliona hilo (nampomgeza kwa hilo),bado hakuibadilisha kwa vile ilikuwa inampa yeye U-MUNGU mtu kutawala kirahisi without being challenged /facing opposing views!

Angalia sasa madikiteita wa kiume na kike wanavyoitumia kuua, kuteka, kupoteza , kuminya demokrasia ya watanganyika!

A GOVERNMENT IS AN INSTRUMENT OF OPPRESSION, AS LONG AS HE HEADED THE INSTRUMENT OF OPPRESSION, SIWEZI KUMUENZI!

Ukiacha hilo hapo juu, kwa mengine alikuwa mfano bora eg, kutokuwa Mwizi. UAMINIFU
Nakubaliana na wewe, huyu ndiyo alituharibia nchi yetu kwa hii katiba mbovu pamoja na muungano fake wa Zanzibar
 
Hii katiba mpaka huwa najiuliza ilitungwa na watanzania kweli au ni mtu tu alitumiwa kwenye flash na wakoloni? tunamuenzi kwa lipi? ametuachia majangili tupu ya mali za umma pamoja na muungano wa hovyo na Zanzibar
 
Back
Top Bottom