14-10-2024: Siwezi kumuenzi Mwalimu Nyerere, ila nitamuombea pumziko jema la amani

ni uhuru, haki na hiyari yako kusherehekea siku hiyo muhimu sana ya kumbukizi ya hayati Mwl.JK Nyerere kwa namna ya pekeyako na itapendeza zaidi..

Infact,
Kutambua tu kwamba,
Tar 14-10-2024 kama siku ya kumbukizi ya hayati Baba wa Taifa J.K Nyerere inatossha sana gentleman. That's great 👊🐒
 
Katiba mpya ya Kenya ilipatikana 2010. Usiishie tu kumlaumu jiulize ujasiri wa kuingia barabarani kuidai unao?
context....sitamuenzi. hata vita ya wenyewe kwa wenyewe ikibidi, lakini why that hash way wakati ni matter ya watawala kubadirika?
 
We usipomuenzi sisi tutamuenzi. Wakati huo babu yako alikuwa wapi we unakuja kuleta ujanja pori sahizi. Kama babu yako jinsi ambavyo hakuwa na issue kipindi hicho ni kama wewe sasa hivi.
Hujakatazaw, hata unaweza kunmfuata ukambusu huko aliko.......
 
Wewe ni mwoga tu na mpuuzi fulani.
Kwani huwezi kufanya chochote kubadili hiyo katiba?
Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kufa ili kuipigania nchi,wewe unakaa unalaumu mtu aliyekufa- chukua hatua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hakika hapo tu ndipo alipokosea !
 
Hilo la Katiba, ameisha samehewa, saa hizi yuko peponi akisubiria kutangazwa Mwenye Heri kuelekea kuwa Mtakatifu Julius Kambarage Nyerere.
P
 
Hilo la Katiba, ameisha samehewa, saa hizi yuko peponi akisubiria kutangazwa Mwenye Heri kuelekea kuwa Mtakatifu Julius Kambarage Nyerere.
P
Wanadamu mnadanganyana, nani kamsamehe? nani ana Muhuri wa kusamehe? Waliokufa kwa sababu ya katiba aliyoiacha wamemsamehe? Umeomgea nao wakasema tumemsamehe?
 
Wanadamu mnadanganyana, nani kamsamehe? nani ana Muhuri wa kusamehe? Waliokufa kwa sababu ya katiba aliyoiacha wamemsamehe? Umeomgea nao wakasema tumemsamehe?
Kuna dunia mbili na ulimwengu mbili, dunia ya kwanza na ulimwengu wa kwanza ni ulimwengu wa mwili na dunia ya roho na ulimwengu wa roho, hivyo hayo ya mbinguni, peponi na motoni ni mambo ya ulimwengu wa roho, only wenye jicho la roho ndio wanaoneshwa mambo ya ulimwengu wa roho. Na sio Nyerere pekee ndio yuko peponi, hata JPM. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…