Tetesi: 14 Most famous shopping malls in Kenya (with photos

Tetesi: 14 Most famous shopping malls in Kenya (with photos

Dar es Salaam kuna
1.Mlimani City
2.Quality Centre
3.Mkuki Mall
4.City Mall
5.GSM Mall
6.Kibo Complex
7.Aura Mall
8.Dar Free Market
9.Mayfair Plaza
10.Shopper's Plaza
11.Slipway Shopping Centre
12.SeaCliff Village
13.Village Walk

Nitaendelea....

Kuna GSM Msasani na GSM Nyerere Road, pia JMall .
 
Kwa mfano, 2 Rivers ni ya Maana, Crystal Rivers ni ya Maana lakini Dar Free Market ni ovyo.
Hujanipa vigezo, haya uliyosema ni maoni yako tu. Kwa mimi nilieona malls kama Blue Water, Lakeside au The Oracle naweza pia kusema 2 Rivers ni ya hovyo tu.
 
Ninachojaribu kuelezea ni kwamba, hizo alizopost hazina tofauti na malls za Eastleigh. Kama zingekua Nairobi hata hatungeziorodhesha hapa. Kwa mfano angalia hii hapa Dar Free Market and compare it with the Eastleigh mall below.View attachment 916960View attachment 916962
Dar free market is very good inside.... But kusema kweli finishing yake ya nje ni disgrace.. Huwezi kuamini ina Cinemas ya maana na maduka mazur.... Hata mm Dar free market huwa naona ina poor finishing... Ila ukiangalia kuna malls nying tu nzur na sio za size kubwa sana ila ni very high grade
Hapo ni me post..few
Ninachoeleza sio lazima kila shopping centre iitwe.Mall
downloadfile.jpg
690bb0932c3bead803c630518a90a65e.jpg
a.JPG
Quality+center+shopping+mall+along+Nyerere+Road+%2CTemeke+Dar+Es+Salaam.jpg
 
Ndugu zetu wakenya mna mawazo ya kitumwa..sasa unabishania mall wakati wanaoenda kununua bidhaa ni wazungu peke yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malls unajua zitapitwa na wakati muda si mrefu.. Watu wanafanya sana manunuzi online
 
Ila nyei wakenya watu wa Ajabu sana
Mada yenu
mnaanzisha choko choko
mkijibiwa na Hao watu
mnaanza kulialia na matusi juu

Hii mada bila kuingilia Watanzania itadoda na Wakiingia humu
mtaanza kutoa Mapovu
Ngoja niite Jeshi Kuu

Cc Annael ichoboy01 MOTOCHINI kadoda11 Geza Ulole
Jenga mall lakini mchele na ugali unakula ya tz. Ni win win.
Sasa hata mabibi mnaoa tz.
Shemeji wacha maneno.
 
Hujanipa vigezo, haya uliyosema ni maoni yako tu. Kwa mimi nilieona malls kama Blue Water, Lakeside au The Oracle naweza pia kusema 2 Rivers ni ya hovyo tu.
1. You've seen them online, definitely not in real life.

2. We are talking about East Africa, not London.

3. You've actually answered yourself. Blue Waters is a class above 2 Rivers hence it's not logical to respond to Blue Waters with 2 Rivers. Same way 2 Rivers is a couple of classes about the malls you posted hence makes no sense to make the comparison.
 
Not seen them online...i was doing my shopping in those malls regularly...and i can do that anytime. Point yangu ni kuwa hujaweka facts kwanini hii ya ovyo, umetoa tu maoni yako hii ni ya hovyo. Na mimi kwa maoni yangu ninaweza kusema hizo ulizotaja ni za hovyo. Weka sababu kwanini hizi ni za hovyo na hizo ni za maana.
 
What are you going on about? Do I need to make a thesis to prove it's stupid to compare 2 Rivers to a joke like Dar Free Market?
 
Malls unajua zitapitwa na wakati muda si mrefu.. Watu wanafanya sana manunuzi online
Waache wakenya, wanshindanisha White Elephant wao hapa. Mall au shopping center za Kenya nyingi ziko empty na zinaemdeshwa kwa hasara.
 
Dar free market is very good inside.... But kusema kweli finishing yake ya nje ni disgrace.. Huwezi kuamini ina Cinemas ya maana na maduka mazur.... Hata mm Dar free market huwa naona ina poor finishing... Ila ukiangalia kuna malls nying tu nzur na sio za size kubwa sana ila ni very high grade
Hapo ni me post..few
Ninachoeleza sio lazima kila shopping centre iitwe.Mall View attachment 916984View attachment 916985View attachment 916986View attachment 916987
Level yake ni Lavington Mall.

images (3).jpeg
 
Ndio hio number 15 hapo among the maize stores in Tz with their Hqs in Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
14.JM Mall
15.Pugu Road Mall
16.Baraka Plaza
17.C&G Plaza
18.Mbezi Beach Mall opening soon
19.Shamo World
Gentlemen. Give it up for Pungu mall[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
2018-10-31_16.11.30.jpeg
FB_IMG_15409862260655631.jpeg
 
Ndio hio number 15 hapo among the maize stores in Tz with their Hqs in Kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gentlemen. Give it up for Pungu mall[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]View attachment 917012View attachment 917013
Was talking abt this
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom