Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
They only have five in DarOk,please add more. I think your friends from Tanzania will come with theirs for more competition.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They only have five in DarOk,please add more. I think your friends from Tanzania will come with theirs for more competition.
Mention them.They only have five in Dar
Kwa Public Transport,Tanzania tuko vizuri kuliko Kenya.Safari club hotelView attachment 938056View attachment 938058
Hahaha sasa umeruka huko [emoji23][emoji23][emoji23]? Umeona hoteli kutoka Dar nililist? Kuna enye niliacha?Kwa Public Transport,Tanzania tuko vizuri kuliko Kenya.
Hii nayo ni 5*?
Kwani inakaa 10*? [emoji23][emoji23]Hii nayo ni 5*?
Hata 3*kwa waswasKwani inakaa 10*? [emoji23][emoji23]
Ka ni 3* kwako basi Oyster Bay ni 0.02* [emoji23][emoji23]Hata 3*kwa waswas
Nilivyomaliza form six nilifanya kazi kwenye protea hotel Moshi miaka kadhaa iliopita ilikua ni 3*,nazifaham hotel vizur lakini sikukaa sana niaenda chuo mwaka huo huoKa ni 3* kwako basi Oyster Bay ni 0.02* [emoji23][emoji23]
Nilivyomaliza form six nilifanya kazi kwenye protea hotel Moshi miaka kadhaa iliopita ilikua ni 3*,nazifaham hotel vizur lakini sikukaa sana niaenda chuo mwaka huo huo
Hata Mombasa has many 5* hotels than DarNilivyomaliza form six nilifanya kazi kwenye protea hotel Moshi miaka kadhaa iliopita ilikua ni 3*,nazifaham hotel vizur lakini sikukaa sana niaenda chuo mwaka huo huo
The hub karen,westgate,Trm,southfield,Next gen,Sarit centre and Yaya centreApart from two river and garden city mall Ni ipi inawezana na mliman City mall
Westy gate, trm ,sarit centre zote Ni hazifui dafu kwa mliman cityThe hub karen,westgate,Trm,southfield,Next gen,Sarit centre and Yaya centre
Zote ziko na over 30kmqr ...mlimani has 30Westy gate, trm ,sarit centre zote Ni hazifui dafu kwa mliman city
The hub Karen iko tofaut na izo zingine
Andika kiswahili fasaha wewe "Zenyu' ndio neno la wapi hilo?? We vipi mzee baba????But izo zenyu ni wholesales.
Umeelewa ama hujaelewa??Andika kiswahili fasaha wewe "Zenyu' ndio neno la wapi hilo?? We vipi mzee baba????