MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Eti bye huna muda sio hahaBado barabaran kuna tochi, latra na VTS zao na vibao vya speed 15, 30, 50 na 80. Kuna matuta na zebra, technically huyu dereva hajazingatia kwa sehemu hivyo nimekutajia. Bado mwendokasi haukubaliki. Bye.
Hii comment tuitoe kwenye uzi huu...Nafikiri ni Xx0kph hivi. Speed kills.
Kwanini mkuu? Nime delete.Hii comment tuitoe kwenye uzi huu...
Hahahaha π π π π π πKwa bus huo mwendo ni kasi sana. Ila kwetu sisi hapo ni kwenye kona unainua mguu kidogo.ππ€£
Uzi wa mtoa mada naona una maudhui ya watu kutembea mwendo mdogo. Naona umeweka speed za Autobahn.Kwanini mkuu? Nime delete.
Nimeweka wazi mkuu. Kwa bus hio ni kasi sana.Uzi wa mtoa mada naona una maudhui ya watu kutembea mwendo mdogo. Naona umeweka speed za Autobahn.
Ndugu hujaona uelekeo manyoni, ama kuna manyoni ya Thailand, acha basHajataja ni nchi gani, kuna wengine mwendo huo kwao ni sawa