140 km/hr?! Or is this a bus auditioning for Fast & Furious?

140 km/hr?! Or is this a bus auditioning for Fast & Furious?

Bado barabaran kuna tochi, latra na VTS zao na vibao vya speed 15, 30, 50 na 80. Kuna matuta na zebra, technically huyu dereva hajazingatia kwa sehemu hivyo nimekutajia. Bado mwendokasi haukubaliki. Bye.
Eti bye huna muda sio haha
 
Kwa bus huo mwendo ni kasi sana. Ila kwetu sisi hapo ni kwenye kona unainua mguu kidogo.😎🤣
Hahahaha 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Unaachia mguu kidogo huku mstari wa Kati ukiwa nusu Kwa nusu ya matairi
 
Back
Top Bottom