Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona me sinywi beerHeaven Sent made it... Njoo PM
Like nyingi kuliko posts sidhani kama zina maanisha hivyo mkuu.....Kuna watu ukipost pumba wanafurahi balaa.Duuuh...!! 1400 posts, 993 likes, inamaana post 400 zote ni pumba....duuuh..
True...ila jamani hata like moja kwa kila post..!!!.??...ina maana wote humu wanapenda pumba.??Like nyingi kuliko posts sidhani kama zina maanisha hivyo mkuu.....Kuna watu ukipost pumba wanafurahi balaa.
Kwahiyo mkuu wewe post 300+ zote ni pumba?True...ila jamani hata like moja kwa kila post..!!!.??...ina maana wote humu wanapenda pumba.??