15-19 unakuwa mbishi, 20-25 unakuwa na kiburi, 25-30 unakuwa confused, 30-35 unakubali mziki, 35-40 haujali tena, 40-45 unajienzi au kujiona ndezi

15-19 unakuwa mbishi, 20-25 unakuwa na kiburi, 25-30 unakuwa confused, 30-35 unakubali mziki, 35-40 haujali tena, 40-45 unajienzi au kujiona ndezi

Umri ni nambari tu lakin ni namba zinazokuja na uwajibikaji katika kila nyongeza ya namba.

Umri ni nambari tu lakini ni namba zisizokaa sehemu mmoja, kama vile zinavyoongezeka kila mwaka ndivyo na wewe zinavyokusukuma kukupeleka hatua nyingine.

Kiuahika hauwezi kuushinda umri ila unaweza kuu-decode kwa kiasi chake kwa kuhakikisha una improve uwezo wa hisia zako, exploit vizuri uwezo wa akili yako, maintain vizuri uwezo wa afya yako, ku-enjoy kwa level yako uwezo wa muda wako na kuifundisha fikra yako kujifunza mapito ya wengine na yako.
Mbona kama umeeleza chama cha ccm.
 
Back
Top Bottom