Story zakipuuzi tu hizoKwa wanavodai 2us dollar kwa view 1000 zidisha sasa
So domo hutumia milion nne za kibongo kwa view million moja so zidisha sasa kwa izo view utapata jibu ni kias gani kinamtoka kwa kununua view tu
Ipo kwny acc ya nani usikurupuke tuAcha kuleta taarifa za uongo kwa kukustiri kaangalie youtube hiyo video ya shaa sugua gaga ina viewers wangapi mpaka sasa na kama inaweza ingia top 15
Ili la diamond kununua viewers sina uhakika nalo na wala sidhani ila swala la kuninua viewers YouTube lipo kabisa haijalishi ni viewers wangapi na kuna website maalumu kwa ajili ya hiyo kazi wewe unaweka order na link ya video yako halafu utaona matokeo yako moja ya web hiyo inaitwa biycheapviewers tembelea hapo uoneWanao sema kanunua
Watuambie kinunua views 100k ni sh ngapi
Na tujumlishe kwa video hizo 10 za diamond kalipia kiasi gani
pitia akaunt ya Seka moke halafu urudi hapa useme mimi na wewe nani anadanganya.Acha kuleta taarifa za uongo kwa kukustiri kaangalie youtube hiyo video ya shaa sugua gaga ina viewers wangapi mpaka sasa na kama inaweza ingia top 15
ugua gaga ya mwanadada Shaa imepata views zaidi ya millioni 20, kwa mara ya kwanza video kutoka Afrika Mashariki kupata views nyingi kiasi hicho. Hadi jumatano (21/10) imefikisha idadi ya views mil. 20,317,143. Ikifuatiwa na video ya “Sintya Loss”- Eddy kenzo yenye views mil.14,672,503 na kufuatiwa Number 1 (Remix) ya Diamond alomshirikisha Davido yenye viewers mil. 10,897,186. Nyimbo ya Sugua gaga iliongozwa na Adam Juma kutoka Tanzania
Source: Mdundo.com 21/10/2015
Hizo ni "marketing strategies" tu unazoweza kuzitumia hata kwenye biashara yako ili kuvuta wateja. Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba ule wimbo ni wa Shaa na umeangaliwa na watu zaidi ya Mil. 20sugua gaga ile nyimbo haistahili kuwepo hii list, video nakumbuka ilikuwa imeandika tanzania sexy girl twerk kwenye picha wameweka mdada flani ana bonge la chura kwa mwanaume mwenye timamu zake lazima afungue pale ila cha ajabu video inayokuja ni tofauti kabisa na kilichoandikwa inakuja sugua gaga,,
hii njia hata underground anaweza kuitumia kukuza views za video
sio marketing strategy hio,,,, niambie msanii gani mwengine ashawai kuitumia kwa wimbo upi na tusije kusahau huo wimbo aliyeupload sio shaaHizo ni "marketing strategies" tu unazoweza kuzitumia hata kwenye biashara yako ili kuvuta wateja. Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba ule wimbo ni wa Shaa na umeangaliwa na watu zaidi ya Mil. 20
mkuu mbona unaleta information za mwaka jana au umecopy tu bila kuangalia?Sugua gaga ya mwanadada Shaa imepata views zaidi ya millioni 20, kwa mara ya kwanza video kutoka Afrika Mashariki kupata views nyingi kiasi hicho. Hadi jumatano (21/10) imefikisha idadi ya views mil. 20,317,143. Ikifuatiwa na video ya “Sintya Loss”- Eddy kenzo yenye views mil.14,672,503 na kufuatiwa Number 1 (Remix) ya Diamond alomshirikisha Davido yenye viewers mil. 10,897,186. Nyimbo ya Sugua gaga iliongozwa na Adam Juma kutoka Tanzania
Source: Mdundo.com 21/10/2015
HahahahahahDomo ana video 10..pole ya nin??
Nilitaka tu kuweka sawa taarifa kwamba hiyo video imefikisha views zaidi ya Mil. 20 tangu mwaka jana. Na ndio video ya msanii toka AM inayoongoza kwa kuangaliwa zaidi.mkuu mbona unaleta information za mwaka jana au umecopy tu bila kuangalia?
Ngoja na mim nikaiangalie.Sugua gaga ya mwanadada Shaa imepata views zaidi ya millioni 20, kwa mara ya kwanza video kutoka Afrika Mashariki kupata views nyingi kiasi hicho. Hadi jumatano (21/10) imefikisha idadi ya views mil. 20,317,143. Ikifuatiwa na video ya “Sintya Loss”- Eddy kenzo yenye views mil.14,672,503 na kufuatiwa Number 1 (Remix) ya Diamond alomshirikisha Davido yenye viewers mil. 10,897,186. Nyimbo ya Sugua gaga iliongozwa na Adam Juma kutoka Tanzania
Source: Mdundo.com 21/10/2015
Poa. Nenda kwenye akaunt ya Seka moke halafu chagua Tanzania. Utazikuta nyingi tu.Ngoja na mim nikaiangalie.
youtube mtu 1 anaweza kutazama hadi mara 20,ingekuwa unapotazama tu hata ukitazama tena idadi ya viewer haiongozeki sidhani kama kungekuwa na idadi hiyo
Hizo Views za kununua ,Shame [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
~Cmb