15 bora ya video za wasanii wa Afrika Mashariki zilizotazamwa zaidi youtube

15 bora ya video za wasanii wa Afrika Mashariki zilizotazamwa zaidi youtube

1. Sitya loss- EDDY KENZO 19.81M
2. nana - DIAMOND 18.41M
3. number 1 remix -DIAMOND18.36M
4. ntampata wapi - DIAMOND11.21M
5. nasema nawe - DIAMOND 11M
6. mariaroza comedy-EDDY KENZO 9.71M
7. bado - harmonize 9.36M
8. Salome - DIAMOND 9.03 M
9. mwana - ALIKIBA 9.01M
10. mdogo mdogo -DIAMONDM 8.1
11. zigo remix - AY 7.94M
12. utampata wapi - DIAMOND 7.73M
13.kidogo- DIAMOND 7.35M
14. make me sing - DIAMOND
5.63 M
15. number 1 -DIAMOND 5.6M


summary
Diamond platinumz video 10
Eddy kenzo video 2
Harmonize video 1
Alikiba video 1
AY video 1

Mpaka sasahiv SITYA LOSS VIDEO YA EDDY KENZO NDIYO VIDEO INAYOONGOZWA KUTAZAMWA ZAID AFRIKA MASHARIKI

Poleni team domo na team kibakuli
Mpaka hapo dai ndio simba
 
Sugua gaga ya mwanadada Shaa imepata views zaidi ya millioni 20, kwa mara ya kwanza video kutoka Afrika Mashariki kupata views nyingi kiasi hicho. Hadi jumatano (21/10) imefikisha idadi ya views mil. 20,317,143. Ikifuatiwa na video ya “Sintya Loss”- Eddy kenzo yenye views mil.14,672,503 na kufuatiwa Number 1 (Remix) ya Diamond alomshirikisha Davido yenye viewers mil. 10,897,186. Nyimbo ya Sugua gaga iliongozwa na Adam Juma kutoka Tanzania

Source: Mdundo.com 21/10/2015
Mkuu mbona me nimetoka sasahiv utube sugu a gaga ina views 3m
 
bf9f831a8e771eb9099b48bd5945eafe.jpg
 
Acha ubinafis mkuu Mbona Ya mmanyema wetu PKP sijaona hata moja tu
 
Ili la diamond kununua viewers sina uhakika nalo na wala sidhani ila swala la kuninua viewers YouTube lipo kabisa haijalishi ni viewers wangapi na kuna website maalumu kwa ajili ya hiyo kazi wewe unaweka order na link ya video yako halafu utaona matokeo yako moja ya web hiyo inaitwa biycheapviewers tembelea hapo uone

Buy Cheap Views – Buy YouTube Views, Likes, Subscribers and much more!

Will my video get banned if I buy YouTube views? - Quora
Will my video get banned if I buy YouTube views? - Quora
Da kaka kumbe issue inawezekana da
 
1. Sitya loss- EDDY KENZO 19.81M
2. nana - DIAMOND 18.41M
3. number 1 remix -DIAMOND18.36M
4. ntampata wapi - DIAMOND11.21M
5. nasema nawe - DIAMOND 11M
6. mariaroza comedy-EDDY KENZO 9.71M
7. bado - harmonize 9.36M
8. Salome - DIAMOND 9.03 M
9. mwana - ALIKIBA 9.01M
10. mdogo mdogo -DIAMONDM 8.1
11. zigo remix - AY 7.94M
12. utampata wapi - DIAMOND 7.73M
13.kidogo- DIAMOND 7.35M
14. make me sing - DIAMOND
5.63 M
15. number 1 -DIAMOND 5.6M


summary
Diamond platinumz video 10
Eddy kenzo video 2
Harmonize video 1
Alikiba video 1
AY video 1

Mpaka sasahiv SITYA LOSS VIDEO YA EDDY KENZO NDIYO VIDEO INAYOONGOZWA KUTAZAMWA ZAID AFRIKA MASHARIKI

Poleni team domo na team kibakuli
3aaf2e1251709f061ca187794626186b.jpg


Mbona sitya loss Ina viewers 2.5M
 
Hiyo ya Shaa imewekwa kwenye account ya mzungu, nadhani huyo mzungu ana nguvu huko kwao ndo akatokea kuipenda na kuiweka. Kinachozungumziwa hapo ni Videos msanii alizoweka kwenye account yake ya Youtube.
Shaaa.png
 
youtube mtu 1 anaweza kutazama hadi mara 20,ingekuwa unapotazama tu hata ukitazama tena idadi ya viewer haiongozeki sidhani kama kungekuwa na idadi hiyo
Team Kiba bwana munachekesha..sasa kama unalijua hilo,mbona sasa Diamond anapopata views wengi youtube munalalama kwamba anawanunua?!
.
Kama mtu mmoja anaweza kutazama mara view 200,munashangaa nini sasa akipata views million tano kwa mwezi?!
 
Back
Top Bottom