15 bora ya video za wasanii wa Afrika Mashariki zilizotazamwa zaidi youtube

Mpaka hapo dai ndio simba
 
Mkuu mbona me nimetoka sasahiv utube sugu a gaga ina views 3m
 
Acha ubinafis mkuu Mbona Ya mmanyema wetu PKP sijaona hata moja tu
 
Da kaka kumbe issue inawezekana da
 


Mbona sitya loss Ina viewers 2.5M
 
Hiyo ya Shaa imewekwa kwenye account ya mzungu, nadhani huyo mzungu ana nguvu huko kwao ndo akatokea kuipenda na kuiweka. Kinachozungumziwa hapo ni Videos msanii alizoweka kwenye account yake ya Youtube.
 
youtube mtu 1 anaweza kutazama hadi mara 20,ingekuwa unapotazama tu hata ukitazama tena idadi ya viewer haiongozeki sidhani kama kungekuwa na idadi hiyo
Team Kiba bwana munachekesha..sasa kama unalijua hilo,mbona sasa Diamond anapopata views wengi youtube munalalama kwamba anawanunua?!
.
Kama mtu mmoja anaweza kutazama mara view 200,munashangaa nini sasa akipata views million tano kwa mwezi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…