15 Julai, 2021; Hayati Magufuli atakumbukwa kwa kasi sana na watu wa kada zote

Hapo kwenye 50k na 1k. Unamaanisha nini au shilingi ngapi?
 
Jasmoni Tegga kazi imeanza
 
Hapo kwenye 50k na 1k. Unamaanisha nini au shilingi ngapi?
Mkuu hujasoma shule nini? Hilo neno ni common sana sikuhizi! K ni kiwakilishi cha kiwango cha elfu 1 ama 1000! Utakapoona namba yeyote ikifuatiwa na neno k basi zidisha hio namba mara 1000 ndipo utapata jibu halisi!
Kwa minajili hio 50k ni sawa na 50x1000=50,000
1k ni sawa na 1x1000=1,000
 
Alimuua nani kwenye familia yako?
Dhalimu mwendakuzimu ndiye alikuwa kamanda mkuu wa jeshi la wasiojulikana lililoteka, kutesa, kumiminia risasi na kuwapoteza Watanzania ambao hawakumuunga mkono na kwa uovu wake huo akapewa adhabu stahiki ya kupelekwa jehanum anakoteseka kama alivyowatesa wengine.
 
Atakuwa aliielewa kivingine, labda; kaharibiwa na mitandao huyu ๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚ ๐Ÿ™‚
 
Pole sana najua alimpiga chini mjomba wako Bungara na wewe mwenye vyeti feki!
 
Sawa vyeti feki ulitegemea utadumu kwa nguvu za ndumba ofisini๐Ÿ˜‚???
 
Mbunge si fisadi namba moja๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… halafu wanajiona wapo sahihi mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ