15 November ...snowhite alizaliwa!

lol!kwanza kabla sijasema asante ngoja niulize kwanza hii avatar ndo kusemaje?ahahahhahahahahhahahhaha
haya bana
ahsante sana shemeji!nasubiri mashalali

Hahahaha. Shem kausha kwanza. Tumalize kwanza sherehe.. Ndo vinono vinaandaliwa..
 
mie sikuwish,.mnajaza server kwa kujaza mithread isiyo na tija na kutafuta atention....
 
Happy birthday snowhite my twin..my pacha...Enjoy and celebrate happily!..I wish you all the best!!
 
Last edited by a moderator:

Happy birthday Snowhite!!!!!!!!!
 
mie sikuwish,.mnajaza server kwa kujaza mithread isiyo na tija na kutafuta atention....

hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini vile???
we nina wasiwasi hujazaliwa bali umejambwa ndio maana unakosea watu adabu...hebu ondoka hapa haraka sana, server zijae kwani si ndio kazi yake
 
hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini vile???
we nina wasiwasi hujazaliwa bali umejambwa ndio maana unakosea watu adabu...hebu ondoka hapa haraka sana, server zijae kwani si ndio kazi yake

ahahahahahhahhah gfsonwin mwali hebu mwambie watu8 amsamehe huyu mtu!ahahahahhahhaha umeona hapo kwenye red lol!
 
Last edited by a moderator:
need not to say more, as you know how deeply i love you, you mean a lot to me and you are my true friend. i love you more than what my words can tell and more than what you can think, you madame b and cacico are the only true friends who keeps me smiling everyday.
snowhite nakupenda na uwe na maisha marefu sana sana yenye baraka na heri duniani.
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye RED ulikua unamaanisha nini vile???
we nina wasiwasi hujazaliwa bali umejambwa ndio maana unakosea watu adabu...hebu ondoka hapa haraka sana, server zijae kwani si ndio kazi yake

chukua time huko nikiwa nimezaliwa nimejambwa wewe yanakuhusu nini?whats the point kujaza server na mithread yenu ya ujinga uliofunikwa kwa lugha ya picha kama hii site ni home of greti thinkazz.....katafuteni site nyingine mjaza mashudu yenu.
 
oh gal!ahsante mamii!NAKUPENDA SANA mwali!
ila umeona watu8 kashanipa teddy bear si unajua tena ahahahhahhahahha ,mweh!hatuchekani (lol)
 
Last edited by a moderator:
Watu 8 mdogo wangu wa moyoni, hebu wtu wasikuharibie siku asubuhi njema kama hii tunaposherehekea siku ya kuzaliwa kwa ipenzi chetu snowhite.

sijui kwanza leo mmeandaa nn ningekuwepo mwenyewe leo mngenikoma ila dah! nakuaminia dogo utaoganize party nzuri ya dada mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…