snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
- Thread starter
- #101
Dear snowhite,
Moja ya zawadi kubwa kabisa ambazo binadamu huweza kupata na akaikumbuka kwa siku nyingi ni "Recognition" Nimesoma post yako hii na napenda nikiri kwamba imenigusa sana. Si tu kwamba kwasababu nami nimetajwa humo bali kwa namna ulivyomtaja kila mmoja na kwa namna gani unamtambua na sehemu yake katika maisha yako.
Nashukuru sana partner and sister, na katika siku yako hii nakutaki kila la kheri, baraka na maisha marefu na Mungu aendelee kukuongoza katika kila lile utakaloligusa na kulifanya. Just remember you got friends, sisters and brothers who appreciate you and recognize you.
:smow:Happy Birthday Partner and sister snowhite:smow:
ahsante partner M'Jr yaah moja y vitu mama yangu alinifundisha ni kushukuru!
nafurahi kwa kuwagusa wapendwa wangu!
ahsante sana kwa wishes!
Last edited by a moderator: