15 November ...snowhite alizaliwa!


ahsante partner M'Jr yaah moja y vitu mama yangu alinifundisha ni kushukuru!
nafurahi kwa kuwagusa wapendwa wangu!
ahsante sana kwa wishes!
 
Last edited by a moderator:
Happy Day snowhite, may your days be filled with happyness n laughter!

I thank God for ur life!

ahsante sana mpenzi wangu Kaunga ,shukran sana kwa wishes zangu!
nashukuru sana kwa kuwa rafiki yangu!
LOVE YU girl!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my bestito shostito snowhite! I wish you to have the courage to live at least one more dream, fulfill one more wish and make one more person's life beautiful.

ahsante halalito,shostito,mpenzito,mamito mwaJ mimi penda sana wewe
 
Last edited by a moderator:
happy birthday my dear mke mwenza! we share 15th!! MAY OUR ALMIGHTY GOD PROTECT YOU AND GRANT U MUCH BLESSINGS IN THIS WORLD, AND FINALY WE MEET IN HEAVEN! much luv my friend!

lol!hili la 15th sidhani kama gfsonwin analitambua ,atatuoneaje dongeee!ahsante mwaya mke mwenza
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mpendwa snowhite!


Mungu azidi kukubariki na kukupa maisha marefu zaidi! Hongera pia kwa miaka 17 ya ndoa lol. Nimekuonea wivu ati!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mpendwa snowhite!


Mungu azidi kukubariki na kukupa maisha marefu zaidi! Hongera pia kwa miaka 17 ya ndoa lol. Nimekuonea wivu ati!
ahsante mwaya ahsante sana sweetlady
ngoja nikwambie my dear ndoa yangu ina miaka 9 na kabla hatujaoana i dated the guy miaka 8 so mi huwa naiterm kuwa ni miaka hiyo manake hiyo miaka 8 ni kama ilikuwa hivo tu since we even had a baby ndani ya hicho kipindi!so being the case mi huwa naijumlishia tu mumo mumo!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mpenzi! Keki ya birthday unibakishie kakipande manake ntachelewa kufika ukumbini!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday ,may u live to be 100
 
waoh! kumbe tunashea birthdate! namshukuru Mungu pia for this day kwani pia ni birthday yangu... kaka Erickb52 uko wapi leo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…