15 wafariki kwa ajali ya boti Nigeria

15 wafariki kwa ajali ya boti Nigeria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1657520758502.png

Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti katika mji wa biashara wa Nigeria Lagos imeongezeka na kufikia 15 huku miili zaidi ikiopolewa, maafisa wa dharura wamesema Jumapili.

“Kulikuwa abiria 16 ndani ya boti wakati ajali ilipotokea Ijumaa usiku,” Ibrahim Farinloye wa idara ya kitaifa ya dharura (NEMA) ameiambia AFP.

Maiti mbili zilipatikana baada ya mkasa huo Jumamosi, amesema.

Amesema miili 11 iliopolewa Jana Jumapili.

“Kujumuisha na hiyo, jumla ya miili 15 imeopolewa.”

Farinloye amesema abiria mmoja ametoweka.

Mamlaka ya Lagos ya usafiri wa baharini (LASWA) pia imethibitisha vifo hivyo.

VOA Swahili
 
Tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote
Nalog off Z
 
Back
Top Bottom