BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mamaake mzazi huyu binti yuko hai na wamefanana balaaAlichukuliwa kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima baada ya Mzazi/Wazazi kufariki kwa ukimwi.
Wazazi au ndugu wakaribu? maana ni orphanVipi kuhusu wazazi halisi wa huyo mtoto? Wako kwenye condition gani?
Kuna hii post nimeona ina different storyWazazi au ndugu wakaribu? maana ni orphan
Uzuri wake hupo wapi mkuu? alivyokondeanaYaani huyu dada namna alivyomzuri ningekuwa nampa mimba kila mwaka si kwa utamu alionao.
Mama yake mzazi alikufa kwa ukimwi na mtoto alikuwa anasumbuliwa na utapia mlo ndipo Angelina alipotembelea Adis Ababa Ethiopia akamuasili 2005.Vipi kuhusu wazazi halisi wa huyo mtoto? Wako kwenye condition gani?
In this story we are told her biological mom died with Aids. Which is which then?Kuna hii post nimeona ina different story
Zahara Jolie-Pitt’s birth mother wants to get in touch with the girl she gave up for adoption
I real love Brad Pitt's family with their humanity program they run towards orphans.Jolie adopted a daughter, six-month-old Zahara Marley, from an orphanage in Addis Ababa, Ethiopia, on July 6, 2005 and she is all but glowing now, a sincere show of humanity without discrimination, they do have a multicultural family.
Zahara is not the only child she adopted, she has 6 children. Maddox who is 19, Pax, 16, Zahara, 15, Shiloh, 14, Vivienne and Knox, 11.
Maddox, Zahara and Pax were adopted from orphanages in Cambodia, Ethiopia and Vietnam, respectively. The remaining three are the biological children of she and Brad Pitt, they both love having children.
Zahara in particular was born as Yemsrach on January 8, 2005, in Awasa but she has gone to live a far better life than was expected when she was in an orphanage in Addis Ababa.
She was Jolie's first adopted daughter, she was put in the orphanage when her mother died of AIDS and could not be sent to school.
Zahara loves humanitarian works and her parents named a foundation after her, the Zahara Programme. There is also a Zahara Centre based in the outskirts of Addis Ababa, Ethiopia.
She has had the opportunity to meet the first female president in Ethiopia and she's got acting skills too, like her mum. Zahara did the voice acting for Meng Meng, the panda triplet, in Kung Fu Panda 3.
God bless Angelina Jolie and Brad Pitt.
Mi nshamtolea na mahaliNampenda sana Angelina Jolie
Ili iweje hata kama wako kwenye coondition mbaya???Vipi kuhusu wazazi halisi wa huyo mtoto? Wako kwenye condition gani?
Sawa Diamond.Ili iweje hata kama wako kwenye coondition mbaya???
Huyu Angelina Jolie hajawahi kuwa demu wa Don Nalimison a.k.a Deogratius Kisandu?
Don Nalimison alimpiga chini baada ya kugundua demu njaa sana
HahahaDon Nalimison alimpiga chini baada ya kugundua demu njaa sana
HahahaKwetu wangechukua picha ya huyo mtoto kumpost mitandaoni halafu wanakwambia "Ukipita bila kusema amen utataabika mwaka mzima"
Waswahili kwa kujifanya tunazijua hizi dini hatujambo
Demu kwa kugawa utamu tu yuko vizuriKila nikimuona Angelina Jolie naikumbuka Original sin kacheza na Antonio Banderas