15 Years after Angelina Jolie adopted this African girl with malnutrition

15 Years after Angelina Jolie adopted this African girl with malnutrition

She is so beautiful.
Ila haonekani kuwa na malnutrition akiwa Mdogo bwana.
God bless Angelina's big heart
 
Ukifanya jambo jema au ukiwa mwema basi hata sura yako itasifiwa kua wewe ni mzuri,ila ukiwa katili na roho mbaya basi hata sura yako itaonekana mbaya!

Kama hii habari ingeletwa kua Angelina Jolie kafanya jambo baya na la kikatili basi bila shaka angepondwa na wachangiaji wengi sana,bila shaka hata angeambiwa kua ndio maana kimekonda japo kina hela.😀😀
 
Mswahili hua anakwambia "kina roho mbaya ndo maana hakinenepi" 😀😆
 
Anti America akina Bwana Utam na hearly watapinga, yaana wao ni wapingaji wa kila kitu iwapo tu kinafanywa na Marekani au Mmarekani
 
ila hawa wazungu hawa, acha tu. namna zao za uendeshaji wa maisha uko tofauti sana na tukionacho......ndo maana wanaendelea sana hawa watu!
 
Kwetu wangechukua picha ya huyo mtoto kumpost mitandaoni halafu wanakwambia "Ukipita bila kusema amen utataabika mwaka mzima"

Waswahili kwa kujifanya tunazijua hizi dini hatujambo
Ujinga na unafiki wetu ndio tatizo , Sasa mtu akisema ameen ndio inasaidia nn !!!
 
Mamaake mzazi huyu binti yuko hai na wamefanana balaa

Huyu binti hamtaki her biological mom, coz Hana bond nae( madai yake)

Hii ni ishu kama ya Baloteli
Hatakiwi kumchukia mama yake kama yupo,kama angelelewa na mama yake asingefika hapo alipo (kila kitu kinachotokea huwa kina sababu yake)
 
Wanawake wote wangekuwa na roho ya hivi dunia ingekuwa na amani sana. Hapa Afrika ni ngumu sana mwanamke kumpenda mtoto wa mwanamke mwingine

Mungu ambariki Angelina Jolie

Movie yake nayoipenda inaitwa S.A.L.T
 
Back
Top Bottom