1500 years Old Bible found in Turkey

Mkuu unazingua, seemly kuna roho inakutumikisha bila ya wewe kujua
So instead of try to prove who crucified who, or who was crucufied

Ask yourself this questions has you know this world is running by symbols
1. What does crucifix symbolize if Jesus wasn't crucified?

2.Why is it that most of Lucifer's followers and even in their churches they use a crucifix which is upside down, what does that also symbolized?

3.What is the moon and star symbolized in all mosques?

And lastly why is it that many pagan and luciferians attacks christians only mostly and not muslims, why all attacks are to christians

"i will not say who because from 2017 everything will start to come to light"
Why are they so busy trying to create a war between Muslims and Christians

Ukipata majibu ya maswali hayo nadhani ndo utaanza fikiria sawa na sio kuandika vitu ambavyo ujui
 
Ni kweli. Lakini according to Bible yote hayo hayakutokea. Ushahidi upo kamili kwenye thread. Hivi vitu ni vizuri kuwa addressed kwani ni wajib kutafuta ukweli. Na imani lazima iwe na foundation ya ukweli isiyokuwa ya shaka.


Wa kutoa ukweli huo mkuu ni wakatoliki tu,kwani mfalme herode kipindi kile ambaye alikuwa mrumi ndiye aliyesimamia mchakato mzima wa tokea kukamatwa kwa yesu,kusulubiwa kwake kwa kuwambwa msalabani hadi kifo chake

Wangekiri wenyewe kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa kuigiza na hakuna uhalisia ningeamini mkuu,lakini kwa kuwa hawajawahi kukana kuwa wao ndio waliosimamia hilo zoezi la kuuliwa kwa masia,basi inakuwa ngumu kuiamini hiyo biblia ya uturuki
 
Bora dini zenu za majini, na wanawake uchi(bila chupi) wakat wa ibada
 
Uzushi tu, miaka yote hiyo ndio igundulike Leo eti Bible ilikuwa makumbusho! Hakuna kitu kama hicho
 
kwa hiyo unataka tuamini haya maelezo ambayo yamekuja wakati yakiwa yamechelewa....??? Mimi binafsi nimeukana ukweli wako (UONGO kwa mtazamo wangu) na nakushauri usipoteze muda kukitetea usichokijua maana wenzako wa aina yako walishawahi kusema Yesu aliibiwa hakufufuka (labda ndio hao walioandika pia haya makaratasi yako)
Mt 28:11-15 "...Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, WAKAMWIBA, sisi tulipokuwa tumelala..." na mathalani Biblia yako hii inatabiri uislamu nikukumbushe tu kwamba hakuna popote kwenye Biblia ambapo Mungu wa Biblia amewahi kuuongelea uislamu hata kwa nukta tu ila ni uislamu tu ndiyo umejipendekeza sana kunukuu Biblia (na ndivyo ilivyo) ili uonekane na wenyewe upo!!!! (UKRISTO NA KRISTO YESU MWENYEWE ANAJITOSHELEZA WALA HAPIGANIWI KAMA 'HALLA' anavyopiganiwa)
na kushinda kwa YESU Kristo si haya makaratasi uliyoyaleta ila ni NGUVU YAKE ILETAYO WOKOVU KWA MATAIFA YOTE.
 
Sio kweli kwamba Biblia eg. NT imeandikwa karne ya 4 baada ya Yesu bali kuanzia mwaka 40 mpaka 90 AD.

Ikumbukwe kuwa uongo wa kukana kfufuka kwa Yesu ulianza na Wayahudi immidiately after resurrection ili kuthibiti kuenea kwa umaarufu wa Yesu usilete madhara zaidi ktk imani na utamaduni wao. Wakawa tayari kulipa fedha nyingi kutekeleza hilo.

Mathayo 28:13-14
[13]wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
[14]Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
[15]Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.

Hapa ndio chanzo cha kueneza kwamba Yesu hakufufuka.

Karne ya Pili vikaanza kuandikwa vitabu vijulikanavyo kama Pseudographa kati ya hivyo ni kile ambacho ile clip imekitaja waraka wa Barnabus. Hivi ni vitabu ambavyo havikuandikwa na wanafunzi wa Yesu bali wapinga Yesu.

Kati yao alikuwa Arian ambayo alikuwa ni Myahudi.

Baada ya miaka 600 tangu kizaliwa Yesu Uislam nao ukakumbatia uongo huo.

Kwa hiyo Roho ileile ya mpinga Kristo is at work. Ukijua historia io na ukajumlisha na experience ya mguso wa Yesu ktk maisha yako ya kila siku wala hutababaika na mbwembwe zozote. Ukristo ni Yesu kuwa hai ndani yako sasa na hapo ulipo. Ni kuona matokeo yake sasa ktk nafsi.
 
World running hy symbols doesn't change the facts. The facts are in the Bible itself. The contradiction are in the Bible itself. What i have all said comes from the Bible. The analysis that Jesus was never cricified and so he was never ressurected. That message is clear.

Secondly, Muslim have no problem with Christians or any other religion. Muslims have coexisted peacefully with all other religions especially Christians. The true Christians are called ''People of the Book' in our holy Quran. Islam accepts them because they were following the teachings of Jesus(pbuh) of which is the same as the teachings of Muhammed(may peace be apon him).
 
During the Old Tastment time according to the Jewish religion people who were curses by God were Crusified. We cannot believe that Our Beloved Message of God was cursed by God. That is undegrading him and GOD as well. Clearly Crusifiction is false and fabrication in the Bible as the Bible was compiled and edited by unknown unauthentic scholars who had their own interest.
 
Hakika wewe ni askari usichoke.
 
Na ndio maana Yesu aliyeswa ili unabii wa agano la kale utimie.....sema shida yako wewe una soma bibble kimihemko ili utafute makosa na si kuelewa matukio
 
Mkuuu mbona unalazimisha Allah wenu ajipenyeze kwenye Imani ya kikristo au Uyahudi wakati hatumtambui......mbona sisi wakristo hatulazimishi JEHOVAH ajipenyeze kwny Imani yenu.......
 
Kuoa na kuwa na watoto sio kashfa Ila kwahuyo Muhammad wenu alidhidisha umalaya maana alioa hadi katoto ka miaka 9....
 
Lete uthibitisho wa maandishi
 
Yesu alikuja kabla ya Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie). Kwa hiyo Injili haiwezi ikazungumzia maisha ya Muhammed(rehma na amani zimfikie) kwani alikuwa bado hajaletwa duniani. Isipokuwa Yesu alisema kuwa Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) atakuja badala ya yeye kuondoka. Soma John 16:7

"Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu."

Huyo Msaidizi ni Muhammed(rehmana amami zimfikie). Katika Bible ya Hebrew wanemtaja kwa jina lake kabisa. Lakini katika hii tafsiri ya kiswahili wameandika Msaidizi. Fuatilia.

Sababu ya Quran kumzungumzia Yesu kwa wingi ni kwa Sababu ni mtume wetu aliyepita kama walivyo zungumziwa mitume yote iliyopita, Moses, Abraham,Adam,Noah na wengine wengi. Sababu ingine kuwa Yesu anazungumziwa kwa Quran ni kwamba Yesu mwenyewe alisema kwenye Biblia kuwa huyo Msaidizi atamzungumzia. Soma John 16:26

"Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia".

Kwa hiyo yathibitisha kuwa Quran ni kitabu cha kweli na Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) ni mtume wa kweli hata Yesu alimbashiria ujaji wake. Kama Quran ni kitabu cha Uongo kwanini Mtume Muhammad(rehma na amani zimfikie) asijizungumzie yeye mwenyewe tu?? Tafakari. Haya ni maneno ya Mungu na Mungu anawapenda watumwa wake.
 
Neno la Msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi!

Ila ufahamu neno hili

Hakuna njia nyingine ya kuupata uzima wa milele zaidi ya kumwamini Yesu!

Yesu ndiye njia na uzima, shetani analijua hili na ndio maana anahangaika sana kuupotosha ukweli!

Ukiona mtu anapingana na kazi ya Yesu msalabani usipate shida na yeye ujue tu ni roho ya mpinga kristo hyo inatenda kazi ndani yake. Cha muhimu ni kumuombea.
 
Sijui unayatafsiri vp haya maandiko? Mbn hyo context imekaa vizuri tu na inaeleweka!

'Maana kama wafu hawafufuliwi basi Kristo hakufufuka'

Hapo alikua anafundisha wale wasioamini juu ufufuo wa wafu! Anawaambia

KAMA HAMUAMINI JUU YA UFUFUO BASI KRISTO NAYE HAKUFUFUKA(LAKINI SIVYO MAANA KRISTO ALIKUFA NA KUFUFUKA)

Mbona inaeleweka hyo!!!
 
Nimetuma comments nyingi sana kuhusiana na Crucifiction, Kufa na kufufuka kwa Yesu. Inaonekana hukusoma ushahidi na vipengele nilivyotuma.

Hakuna tatizo. Titaelimishana tu. Labda nianze na swali; unaikubali hii starement zifuatazo from the Bible?

Deuteronomy 24:16

"Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe."

Psalm 49: 7 - 8

7 Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake,Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake,

8 (Maana fidia ya nafsi zao ina gharama,Wala hana budi kuiacha hata milele😉


Hiyo ni kwamba kila mtu atabeba dhambi zake. Na hakuna mtu atakayeweza kumkomboa mwenzake wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. Unakubaliana nayo au unaipinga? Hayo ni maneno ya Bible.

Simple answer please Yes or No kusudi tusitoke nje ya maada.
 
Good!

Imani ya kikristo imejengwa hapo! Mateso, Kifo na Ufufuo wa Yesu.

Wapinzani wa injili wanapata taabu sana na hili!
 
Na ndio maana Yesu aliyeswa ili unabii wa agano la kale utimie.....sema shida yako wewe una soma bibble kimihemko ili utafute makosa na si kuelewa matukio
Sasa kama unakubali alipaishwa kwa Mungu basi hakuwa Crucified. Suala linakuja ni nani aliyekuwa Crufied badala yake??

Mimi nasoma Bible kuelewa na sio kupandikizwa fikra za wahubiri. Ni hivyo ninavyo soma Quran. Lakini panapo kuwa na jambo halipo sawa ni majukumu yetu kuambizana kwani sisi sote ni wana wa Adam. Hili sio suala la kukasirika.
 
asili ya Bilal kama kitabu cha mtume muhamad kinavyosema..!!but sure mkiachana na ujinga wote wakuwatukuza hao weupe mtajua kweli yenu nyie wakristo fake na waisilamu vifuata upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…