1500 years Old Bible found in Turkey

1500 years Old Bible found in Turkey

Yesu wapo wengi Sana... Lakini Yesu kristo wa Nazareth ni mmoja tu naye alikufa msalabani na kufufuka katka wafu... Na Ndio ushindi wetu ulipo...
 
As soon as we are born, we are given a name, a religion, a nationality, a race and we spend the rest of our lives defending a fictional identity...... Vyema kwanza mkajitambua nyi ni nani kabla ya kubishania dini mlizozikuta na misingi waliyoianzisha watu fulani kwa kusudi fulani.
 
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.

Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??

Hujui kitu kuhusu biblia mkuu, hebu soma kitabu cha Luka sura ya kwanza, utaona kuwa mwandishi ambaye ni Luka anazungumzia mambo ambayo ameyashuhudia
 
World running hy symbols doesn't change the facts. The facts are in the Bible itself. The contradiction are in the Bible itself. What i have all said comes from the Bible. The analysis that Jesus was never cricified and so he was never ressurected. That message is clear.

Secondly, Muslim have no problem with Christians or any other religion. Muslims have coexisted peacefully with all other religions especially Christians. The true Christians are called ''People of the Book' in our holy Quran. Islam accepts them because they were following the teachings of Jesus(pbuh) of which is the same as the teachings of Muhammed(may peace be apon him).
Ujajibu maswali mkuu, umerudi kule kule achana na hizo lines

Halafu sijasema muslims they are terrorist kwa sababu ulivyojibu kama vile nimesema hivyo. Nimeuliza kwanini wanajaribu kutengeneza vita kati ya wakristo na waislam with the exception of the funded bible

Unajua bana this world is full of lines, usijiweke kwenye gereza la akili mwenyewe...follow them lines
 
Biblia haikuandikwa immediately baada ya kuondoka kwa Yesu. Iliandikwa baada ya zaidi ya Karne 4 kupita. Hiyo Copy iliyopostiwa ni genuine copy inayosema sawa na mafundisho ya Quran tukufu.

Kwanini ndugu zetu wakristo munaukana ukweli. Hiyo Bible imepimwa na wataalam na imeonekana ni authentic. Lazima mujiulize hivi ni kwanini muna Bible aina nyingi? Hivi maneno ya Mungu yanabadilika yenyewe kutokana na wakati au kuna mtu anayewabadilishia na wakuwataka muamini wanachokiandika??
Nikitu gani kinacho kupa kiburi cha kukiamini icho kitabu na ni kwanini uwaamini hao unao waita ni wa taalam umewaamini ? Je ulisha fanya research juu ya Bible wanayotumia wakristo ?
Don't bliv every word u hear
Tumia maarifa yako kujiuliza y hio type of bible ipatekane nyakati hizi na kuna nini kinaendelea hapo maeneo ya nchi za kati ?
 
Mkuuu mbona unalazimisha Allah wenu ajipenyeze kwenye Imani ya kikristo au Uyahudi wakati hatumtambui......mbona sisi wakristo hatulazimishi JEHOVAH ajipenyeze kwny Imani yenu.......
Umeuliza swali zuri. Ni kwanini Islam inazungumzia Yesu?

Jibu:

Adam(A.S) alikuwa mtu wa kwanza kuletwa duniani. Je tujiulize alikuwa dini gani? Adam(A.S) alikuwa ni Muislamu. Nini maana ya Islam. Islam maana yake ni kujisalimisha kwa Amri ya Mwenyezi Mungu. Hakuna maana nyingine ya Islam. Kwa hiyo Adam alikuwa muislamu na vizaze vyake vyote vilikuwa waislamu. Somewhere along the line after many years watu walikuwa wakipotea kiimani. Hivyo ndivyo Mungu akawa anawaletea Mitume ili kuwaongoza. Hao Mitume walikuja kufundisha dini gani? Walifundisha dini ya Kiislam. Hawakufundisha kitu kipya. Mafundisho ni yale yale. Kujisalimisha kwa Amri ya mwenyezi mungu na kumuamini Mungu mmoja na Mitume yake. Kila Mtume alikuja na special purpose. Kuna baadhi waliokuja kwa ajili ya familia zao tu, kuna baadhi waliokuja kwa ajili ya watu fulani tu na kuna baadhi waliokuja kwa ulimwengu wote. Kuna baadhi waliokuja na vitabu na wengine wengine wamekuja bila vitabu. Kwa kuwa Mungu ni huyo huyo mmoja kwa wale walikuja na vitabu basi kwenye vitabu vyao history za mitume iliyopita inaelezewa kwa mapana ili watu waelewe na kuelimika. Musa(A.s) na Yesu(A.s) wote hawa wamekuja na ujumbe wa dini ya Islam. Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, Kumuamini kuwa ndio Mola pekee, hana mshirika na kuamini vitabu vyake na Mitume yake. Mbona hamusemi kuwa Bible inajipendekeza kwa Mtume Noah? Manake amezungumziwa kwenye Biblia. Hakuna sehemu kwenye Bible ambapo yesu ananukuliwa akisema nimekuleteni KRISTO ndiyo dini yenu. Hiyo Dini ya Kikristo Umezushwa tu. Lakini sio dini aliyoilingania Yesu (A.S). Kama unakana hayo. Nipe uthibitisho kuwa Yesu(A.S) kasema CHISTIANITY is your true religion. Isitoshe Yesu ameletwa kwa wana wa Israel tu. Hayo maneno Yesu(A.S) yeye mwenyewe amesema kwenye Bible.

Kwa usemi huo kwa kuwa Quran ni kitabu cha kweli basi si ajabu kuona Yesu na mitume mingine kuzungumziwa. Na ni haki yetu sisi Waislamu kumzungumzia Yesu(A.S) na kumlinda na uzushi anaozushiwa ya kuwa yeye Mungu na mambo mengine mengi tu kama Crucifiction, Kufa na Kufufuliwa.
 
Ndugu unajua maana ya biblia ? Hoja ingepaswa kuwa maandishi yanayosema Kristo hakusulubiwa yaginduliwa. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi ambapo namna gani vilipatikana imeelezwa. Tukumbuke pia hata biblia yenyewe inaeleza kuwa tangu awali kuna uzushi kuwa Kristu hakufufuka.
si walikuwa wana pre empt,angalia account za mathayo,marco,yohana na luka kila mmoja akieleza tukio la kufufuka yesu anatofautiana na mwenzake,
maana yake kuwa ni hekaya,yesu hakufufuka
 
Kuoa na kuwa na watoto sio kashfa Ila kwahuyo Muhammad wenu alidhidisha umalaya maana alioa hadi katoto ka miaka 9....
Unaweza ukawa na fikra hizo Chafu. Hujui alimuoa kivipi na ni kwa nini na hata hujui kama alikuwa naye kimapenzi. Kila jambo ambayo Mitume imefanya basi imefanya kwa agizo la Mwenyezi Mungu. Hakuna kitu Mitume itatenda ila katumwa na Mola wake. Kwa hiyo ni vyema uulize ili upate kuelimika kushindwa kutaka kutumia lugha za kashfa kwa Wajumbe wa Mwenyezi Mungu. Chunga kauli hizo kwani zinaweza zikakuharibia maisha. Mungu akusamehe kwa ajinga uliokuwa nao na akuongoe kwa njia iliyo sahihi.
 
Sasa kama unakubali alipaishwa kwa Mungu basi hakuwa Crucified. Suala linakuja ni nani aliyekuwa Crufied badala yake??

Mimi nasoma Bible kuelewa na sio kupandikizwa fikra za wahubiri. Ni hivyo ninavyo soma Quran. Lakini panapo kuwa na jambo halipo sawa ni majukumu yetu kuambizana kwani sisi sote ni wana wa Adam. Hili sio suala la kukasirika.
Biblia yangu inasema YESU KRISTO aliteswa na kuwa crucified na kufufuka siku ya tatu na kisha baadae akapaa mbinguni, nadhani bila shaka wewe utakua unamuongelea Issa basi....
 
Umeuliza swali zuri. Ni kwanini Islam inazungumzia Yesu?

Jibu:

Adam(A.S) alikuwa mtu wa kwanza kuletwa duniani. Je tujiulize alikuwa dini gani? Adam(A.S) alikuwa ni Muislamu. Nini maana ya Islam. Islam maana yake ni kujisalimisha kwa Amri ya Mwenyezi Mungu. Hakuna maana nyingine ya Islam. Kwa hiyo Adam alikuwa muislamu na vizaze vyake vyote vilikuwa waislamu. Somewhere along the line after many years watu walikuwa wakipotea kiimani. Hivyo ndivyo Mungu akawa anawaletea Mitume ili kuwaongoza. Hao Mitume walikuja kufundisha dini gani? Walifundisha dini ya Kiislam. Hawakufundisha kitu kipya. Mafundisho ni yale yale. Kujisalimisha kwa Amri ya mwenyezi mungu na kumuamini Mungu mmoja na Mitume yake. Kila Mtume alikuja na special purpose. Kuna baadhi waliokuja kwa ajili ya familia zao tu, kuna baadhi waliokuja kwa ajili ya watu fulani tu na kuna baadhi waliokuja kwa ulimwengu wote. Kuna baadhi waliokuja na vitabu na wengine wengine wamekuja bila vitabu. Kwa kuwa Mungu ni huyo huyo mmoja kwa wale walikuja na vitabu basi kwenye vitabu vyao history za mitume iliyopita inaelezewa kwa mapana ili watu waelewe na kuelimika. Musa(A.s) na Yesu(A.s) wote hawa wamekuja na ujumbe wa dini ya Islam. Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu, Kumuamini kuwa ndio Mola pekee, hana mshirika na kuamini vitabu vyake na Mitume yake. Mbona hamusemi kuwa Bible inajipendekeza kwa Mtume Noah? Manake amezungumziwa kwenye Biblia. Hakuna sehemu kwenye Bible ambapo yesu ananukuliwa akisema nimekuleteni KRISTO ndiyo dini yenu. Hiyo Dini ya Kikristo Umezushwa tu. Lakini sio dini aliyoilingania Yesu (A.S). Kama unakana hayo. Nipe uthibitisho kuwa Yesu(A.S) kasema CHISTIANITY is your true religion. Isitoshe Yesu ameletwa kwa wana wa Israel tu. Hayo maneno Yesu(A.S) yeye mwenyewe amesema kwenye Bible.

Kwa usemi huo kwa kuwa Quran ni kitabu cha kweli basi si ajabu kuona Yesu na mitume mingine kuzungumziwa. Na ni haki yetu sisi Waislamu kumzungumzia Yesu(A.S) na kumlinda na uzushi anaozushiwa ya kuwa yeye Mungu na mambo mengine mengi tu kama Crucifiction, Kufa na Kufufuliwa.
Hahahaha Islam inamzungumzia mtu anaeitwa Issa na sio YESU KRISTO. Mbona hilo liko wazi
 
Lete uthibitisho wa maandishi
Bilal(radhi za Mola zimfikie) alikuwa mtu shujaa na maswahaba wenzake walimtukuza kwa kumuita Master tokea alivyokombolewa kwenye utumwa. Ushahidi nitakaokupa haupo kwenye Biblia. Upo katika Islamic history na Hadith. Nitakutumia link usikilize kisa cha Bilal(Radhi za mola zimfikie) na mchango wake mkubwa katika kusimamisha dini ya Mwenyezi Mungu.
 
Unaweza ukawa na fikra hizo Chafu. Hujui alimuoa kivipi na ni kwa nini na hata hujui kama alikuwa naye kimapenzi. Kila jambo ambayo Mitume imefanya basi imefanya kwa agizo la Mwenyezi Mungu. Hakuna kitu Mitume itatenda ila katumwa na Mola wake. Kwa hiyo ni vyema uulize ili upate kuelimika kushindwa kutaka kutumia lugha za kashfa kwa Wajumbe wa Mwenyezi Mungu. Chunga kauli hizo kwani zinaweza zikakuharibia maisha. Mungu akusamehe kwa ajinga uliokuwa nao na akuongoe kwa njia iliyo sahihi.
Hebu tumia tu Common sense mkuu, huyo Muhhamad ingekua anaishi leo Uarabuni angenyongwa kwa kuoa katoto kadogo......Ila sishangai ndo maana hata pepo yenu mmeahidiwa kuongezewa nguvu za kiume na uwezo wa kungonoka na mabikra saba.....
 
Bilal(radhi za Mola zimfikie) alikuwa mtu shujaa na maswahaba wenzake walimtukuza kwa kumuita Master tokea alivyokombolewa kwenye utumwa. Ushahidi nitakaokupa haupo kwenye Biblia. Upo katika Islamic history na Hadith. Nitakutumia link usikilize kisa cha Bilal(Radhi za mola zimfikie) na mchango wake mkubwa katika kusimamisha dini ya Mwenyezi Mungu.
Una matatizo sana we jamaa, nmekuambia lete uthibitisho wa maandishi from your books wewe unaleta Ngonjera zako.....
 
Wa kutoa ukweli huo mkuu ni wakatoliki tu,kwani mfalme herode kipindi kile ambaye alikuwa mrumi ndiye aliyesimamia mchakato mzima wa tokea kukamatwa kwa yesu,kusulubiwa kwake kwa kuwambwa msalabani hadi kifo chake

Wangekiri wenyewe kuwa ule ulikuwa ni mchezo wa kuigiza na hakuna uhalisia ningeamini mkuu,lakini kwa kuwa hawajawahi kukana kuwa wao ndio waliosimamia hilo zoezi la kuuliwa kwa masia,basi inakuwa ngumu kuiamini hiyo biblia ya uturuki
Hiyo Crucifiction ni uzishi mkubwa especially unaofanywa na wakatoloki kuwapoteza Wakristo. Ushahidi wa kutosha nimeumwaga kwenye thread hii. La pili mbona kuna Sects nyingi za wakristo wanakubali kuwa Crucifition sio kweli na hata hawavai misalaba. Pia wanakubali kuwa Yesu sio mtoto wa Mungu. Iweje leo ancient bible ipatikane na iseme Yesu sio mtoto wa Mungu na Crucifiction sio kweli ushindwe kuamini???
 
Uzushi tu, miaka yote hiyo ndio igundulike Leo eti Bible ilikuwa makumbusho! Hakuna kitu kama hicho
Soma kaka soma. Fuatilia hivi vitu kwani gharama yake kubwa huko tunapokwenda ndugu yangu.
 
Hebu tumia tu Common sense mkuu, huyo Muhhamad ingekua anaishi leo Uarabuni angenyongwa kwa kuoa katoto kadogo......Ila sishangai ndo maana hata pepo yenu mmeahidiwa kuongezewa nguvu za kiume na uwezo wa kungonoka na mabikra saba.....
Sio mabikra 7, umekosea mabikra 70,000. Tazama jinsi unavyo mtaja Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa kejeli. Mtume huyo ndiyo aliyekuja kuzungumza na kukamilisha waliyoleta mitume iliyopita yakiwemo maagizo ya Yesu. Mtume huyo ndio aliyoongoa watu na kuwatoa kwenye ujinga na kuwaongoza katika mstari ulinyooka. Ni Mtume pekee aliyekuwa completely successful katika utumwa wake na amekamilisha kazi yake kikamilifu. Kwahiyo chunga lugha ya na ulimi wako juu yake. Hilo ni wazo tu la wewe kuzingatia.

Hiy uliyoitaja ni Pepo. Na pepo ina maelezo yake mazuri kwenye Islam. Kuna vitu vingi ambavyo unahitaji kujielimisha navyo. Na ni vitu vizuri mno kuvisoma na kuvisikiliza. Kuwa mpole.
 
Yesu wapo wengi Sana... Lakini Yesu kristo wa Nazareth ni mmoja tu naye alikufa msalabani na kufufuka katka wafu... Na Ndio ushindi wetu ulipo...
Kaka soma threads vizuri. Biblia inakana hivyo. Uthibitisho umemwangwa kwenye thread. Soma kwanza halafu njoo na hoja.
 
Hujui kitu kuhusu biblia mkuu, hebu soma kitabu cha Luka sura ya kwanza, utaona kuwa mwandishi ambaye ni Luka anazungumzia mambo ambayo ameyashuhudia
Wewe tuainishie hapa kama mimi ninavyokuwekea. Hii sio ligi. Tunapeana ukweli tu. Usikasirike kaka.
 
Duh maandishi ya mikono ya watu ndio iloipoteza bibilia kila kioja kutatokea itafika siku utaambiwa yesu kafufuka mbeya
 
Back
Top Bottom