Mandela Kato
Member
- Sep 11, 2018
- 14
- 4
Je wajua?, ' hofu ya Mungu inasaidia' katika kuwa na mahusiano sahihi.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yasiyo sahihi ni ' yenye usaliti,na kutakana badala ya kupendana' .Yaliyosahihi ni Yale yenye upendo( kupendana badala ya kutakana) pia yenye upeo( vision) bayana kuoana na si kuchezeana....Yapi sahihi na yapi sio sahihi??
Asante kwa taarifaJe wajua?, ' hofu ya Mungu inasaidia' katika kuwa na mahusiano sahihi.......
Yasiyo sahihi ni ' yenye usaliti,na kutakana badala ya kupendana' .Yaliyosahihi ni Yale yenye upendo( kupendana badala ya kutakana) pia yenye upeo( vision) bayana kuoana na si kuchezeana....