16 april 1983 Mkubwa wa Kariakoo alichezea 3

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875

April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby inajirudia katika tarehe ileile. πŸ˜‚πŸ˜‚ acheni uoga ndugu nawakumbush.

Je tarehe 16 inaweza kujirudia tena au yatageuka upande wa pili?
 
Mbona zile 5 au 6 mlizocjezea huzisemi? Kuwa fair!
 
Baleke
 
April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1.
Yaani unazungumzia 1983 wakati juzi tu akina Muzamiru wamepiga mtu 4-1 na bado hawajastaafu soka 😁
 
Kuna watu wanasahaulishwa na Magoli ya Jean...........ila watalia sana siku hiyo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…