Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
April 16, 1983 katika Derby ya Kariakoo @yangasc1935 ilishinda mabao 3-1. Charles Boniface Mkwasa aliswazisha bao Mussa Kihwelo, Juma Mkambi na Omar Hussein wakaongeza mawili. Miaka 40 Derby inajirudia katika tarehe ileile. 😂😂 acheni uoga ndugu nawakumbush.
Je tarehe 16 inaweza kujirudia tena au yatageuka upande wa pili?