Kama game ikiisha hivi hivi nini kinafuatia kwa Azam?
Jee atakua katoka?
Waarab2, Azam0Any update!
Azam ashapigwa la pili
MzanzibarKipa Manula makini sana. Ni mtz?
Azam 2-1 EsperanceMechi ya kwanza ilikuwa ngapi ngapi?
aggregate ikoje?Dk 67:Esperance FC 2-0 Azam FC.
Sawa mkuu nimekupata ila mwenye haki esperanseAzam TV ndio wenye haki ya kurusha game hii so wanairusha kupitia ZBC 2 mkuu.