16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika: Esperance FC V/S Azam FC 19Apr2016!

16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika: Esperance FC V/S Azam FC 19Apr2016!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Inaboa sana tunaupenda mpira ila hizi team zinatuzengua mpira umekuwa siasa siasa tu tunapanga matokeo ovyo ovyo tu..

Magufuli angehamia na kutumbua huku.
 
Hawa azam wamefungwa kirahisi sana Sijui HAWAKUNYWA azam energy drink...


tatizo mtibwa na waswas nae yebo yebo kesho akapigwa kepu mana wote wameshinda kwa tabu kumfunga mtibwa siombei mabaya ni kamtazamo tu napenda timu zetu zisonge ila ligi yetu haijaziandaa timu kiushindani ligi ipo kishabik sana.
 
Kushabikia hizi timu za bongo kwenye michuano ya kimataifa ni sawa kusubiri treni ya kwenda zenji toka bara
 
Back
Top Bottom