16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika: Esperance FC V/S Azam FC 19Apr2016!

Hawa waarabu wametuzidi mpira,CAF wangekuwa wanatupanga na weusi wenzetu
Weusi wote walishamalizika sasa, labda ungesema tuwe na Ligi yetu Weusi tu sasa maana hakuna namna teh! teh! teh!
 
huyu comentator wa kiarabu anasema tz imefungwa badala ya azam
 
Daaah

Yaan Azam walienda kupak noah, wakadhani wana basi
 
Ligi ya mabingwa ya kusini mwa jangwa la sahara tunaitaka hao wa Maghareib wawe na ligi yao.
 
Azam ndo sasa dk 89 wanapiga shuti la kwanza golini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…