Inaboa sana tunaupenda mpira ila hizi team zinatuzengua mpira umekuwa siasa siasa tu tunapanga matokeo ovyo ovyo tu..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hawa azam wamefungwa kirahisi sana Sijui HAWAKUNYWA azam energy drink...
Ni sawa na mwanafunzi kilaza anayeongoza kwenye darasa la vilaza wenzakeWa kimataifa kwa Tanzania huku Tunisia ni wa mchangani tu. Lol.
hahahAlaf jamaa waliwah kuacha adi ligi wana jiandaa na michuano hii, duuh!!
Baada ya miaka mi5 ijayomkuu wao simba lini?
Hahahaah walipoteza muda tuAlaf jamaa waliwah kuacha adi ligi wana jiandaa na michuano hii, duuh!!
Baada ya miaka mi5 ijayo
Umenikumbusha story moja ya hilo neno KILAZA na chimbuko lake!Ni sawa na mwanafunzi kilaza anayeongoza kwenye darasa la vilaza wenzake
Sijui atasemaje safari hii.Kesho ni zamu ya Jerry Muro kunyolewa
Hahahaah kabisa aisee...!!!hahahahaahah saiv ni zamu ya ndanda na toto au mwadui wakajaribu nafas yao mana hawa wote wanazingua
Yule hakosagi cha kuzungumza.Sijui atasemaje safari hii.