16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika: Esperance FC V/S Azam FC 19Apr2016!

Poleni sana watz wenzangu, ebu tuone/tusubiri kesho kama tutafutwa machozi!.
 
Washabebwa ligi kuu,Njama ya kuwawekea viporo,Lakini bado tu,Watapewa "waarabu wao" ,.TAHADHARI-usitaje mwarabu mbele ya mshabiki wa Yanga na Azam!
 
Oh Tanzania, yaani hii mipira ya kamati ya ufundi kwa kweli inabidi iangaliwe upya. We need a change, wale waarab wala hawakucheza mpira wa hajabu isipokuwa kutojiamini ndipo kuliwaponza wana kamati ya maadili. Kama hatutobadilika na huu muundo wetu wa kamati za kijinga, we will never progress. Tusubiri wazee wa visingizio a.k.a. Wazee wa Pemba hapo kesho. Sitashangaa wakilambishwa 7 - 0 ugenini kwa waarab.
 
Kamati ya Ushindi?Ha ha ha i love bongo soccer..
Kamati ya kumshawishi refa,walinzi ,lines men,Waandishi.
Badala ya kamati ya kutafuta pa kujenga uwanja,Ya kutafuta vipaji !
Shikamoo Yanga - Azam
 
Kazi ipo, kukosa kikombe misimu mitatu siyo mchezo naona umeamka kutupia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…