16 Tanzanian fishermen detained in Migori, Kenya

haya tuone hii escalation itafika wapi
 
[emoji848][emoji848]
Screenshot_20181118-140407.jpeg
 
A lesson for those who don't care about having good relation with neighbors.
 
Hawajaitisha KES 16million ili wawaachilie? Hawa watu wa Migori County huwa wananiangushaga sana. Wanajifanya wafuata sheria ndio iweje sasa, au wanadhani watajishindia tuzo? 😎
 
Mkae nao ikibidi wanyongeni. Tanzania tulisha sema Mtanzania akishikwa ndani ya nchi nyingine nikazi ya sheria za nchi husika kuhusika nae. Hiyo sio kazi tena ya balozi.
 
Imeshaisha hii ndugu yangu acha ushabiki maandazi hapa walahi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]No wonder wanatoroka Tz kuja kujazana Kenya.
Mkae nao ikibidi wanyongeni. Tanzania tulisha sema Mtanzania akishikwa ndani ya nchi nyingine nikazi ya sheria za nchi husika kuhusika nae. Hiyo sio kazi tena ya balozi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]No wonder wanatoroka Tz kuja kujazana Kenya.
Mbona hueleweki?, sisi sio watu wa kulialia kama ninyi, sisi tunasema kama mtanzani amevunja sheria za Kenya, shughulikeni naye kwa mujibu wa sheria zenu, wala hatusemi kwamba Kenya ina harass watanzania.

Nina kuhakikisha hii ingetokea wakenya wamekamatwa Tanzania, kelele za "Tanzanian harasses Kenyans", East Africa intergration", Tanzania sabotages Kenya, zisingeisha humu ndani.
 
Sasa mtalia lia kuhusu nini wakati ndani ya mioyo yenu mnafahamu vizuri hujuma zote mlizotufanyia? Bado vifaranga. [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Vifaranga vilikuwa vya mkenya au Mtanzania!? Akili zenu hazipo sawa walah!!!
 
This game don't need angry. [emoji1] Peace mkuu, natania tu, huu upuuzi utaisha tu. Shida kubwa ni kwamba mipakani watu wana hasira sana.
 
Kweli Kenya inabidi mubadilike sana. Malawi wana mbegu nzuri sana ya kuku, kuku wa Malawi ni hybrid ya kuku wa kisasa na kienyeji, hawa kuku wanapendwa sana hapa Tanzania, watanzania wengi na wafanyabiashara wa Malawi wana jaribu sana kuviingiza vifaranga toka Malawi, vinakamatwa na kuchomwa moto, lakini husikii kelele zozote toka Malawi.

Malawi ni mzalishaji mkubwa sana wa sukari, Tanzania tuna upungufu wa sukari, mikataba ya biashara ktk nchi za SADC zinaruhusu free movements of goods. Tanzania tuliomba ili tuzuie kwa muda sukari toka SADC ili kulinda viwanda vya ndani, tulikubaliwa na Malawi hailalamiki pamoja na kwamba uchumi wake ni dhahifu sana na unategemea sana soko la sukari la Tanzania.

Kenya mnalalamika sana hadi mnatia kinyaa. Utasikia " Tanzania inajitenga, Tanzania inataka kuishusha Kenya, Tanzania ni protectionist, Tanzanians wanaichukia Kenya, inferiority. Yaani ninyi ni shida tupu.
 
Don't make me post the documentary aired today by Citizen tv covering 'Omba omba wa Tanzania' Hawa watu watakufia Kenya Jameni
Mbona hueleweki?, sisi sio watu wa kulialia kama ninyi, sisi tunasema kama mtanzani amevunja sheria za Kenya, shughulikeni naye kwa mujibu wa sheria zenu, wala hatusemi kwamba Kenya ina harass watanzania.

Nina kuhakikisha hii ingetokea wakenya wamekamatwa Tanzania, kelele za "Tanzanian harasses Kenyans", East Africa intergration", Tanzania sabotages Kenya, zisingeisha humu ndani.
 
Kenyan govt gotta stop this nonsense. We can't be punishing innocent neighbours just because magufuli's government wants to act stupid.

Escort them back and take away their catch but don't arrest them. Or have them apply for a fishing license with a small application fee just so we know who is fishing in our waters

There are better solutions we can try instead of arresting an innocent neighbor who is just trying to survive
 
Back
Top Bottom