16 Tanzanian fishermen detained in Migori, Kenya

16 Tanzanian fishermen detained in Migori, Kenya

Kenyan govt gotta stop this nonsense. We can't be punishing innocent neighbours just because magufuli's government wants to act stupid.

Escort them back and take away their catch but don't arrest them. Or have them apply for a fishing license with a small application fee just so we know who is fishing in our waters

There are better solutions we can try instead of arresting an innocent neighbor who is just trying to survive
I hope Kenya as a country has got laws and regulations, you must abide to them without fair or fear, otherwise it will be a banana Republic.
 
Acha longo longo zako wewe, ongea kwa niaba ya wakongomani wenzako. [emoji1]
Magufuli alisha sema hivyo. Amewapa go ahead China kunyonga wa TZ walioshikwa na madawa ya kulevya.... We have more important things to do as a government.
 
Mbona hueleweki?, sisi sio watu wa kulialia kama ninyi, sisi tunasema kama mtanzani amevunja sheria za Kenya, shughulikeni naye kwa mujibu wa sheria zenu, wala hatusemi kwamba Kenya ina harass watanzania.

Nina kuhakikisha hii ingetokea wakenya wamekamatwa Tanzania, kelele za "Tanzanian harasses Kenyans", East Africa intergration", Tanzania sabotages Kenya, zisingeisha humu ndani.
Nimesha waeleza😂😂😂They think we are kidding. China yenyewe tumewambia mkishika Mtanzania na madawa ya kulevya nyongeni kama sheria yenu inavyosema. Sisi wahalifu hatuna muda wakupotezana nao. Uweni hiyo midude.
 
You are so heartless. Life is sacred. We would rather turn them into slaves than kill them
Kwani nchi yenu haina sheria na taratibu mlizojiwekea?, tekelezeni sheria zenu kama zinavyowaelekeza, sisi kamwe hatuwezi kuwaingilia, Kenya ni nchi huru.

Ila tunaomba na ninyi msituingilie kwa aina yoyote ile tunapotekekeza sheria za Tanzania, tukichoma vifaranga, tukitaifisha ng'ombe na kupiga mnada, tukiwafukuza wakenya, Tafadhali punguzeni makele na kujiona ninyi huwa hamfanyi makosa, tukiishi kwa kuheshimiana kama tunavyoishi na nchi za SADC tunapendana na kuishi kwa Amani.
 
Hongera vyombo vyetu vya dola! Waswahili waimbe kwaya huko lock up, aisee alafu wamepelekwa gereza la kodiaga dah... Amber rutty inawahusuu![emoji191] [emoji90] [emoji91]
 
Kenyan govt gotta stop this nonsense. We can't be punishing innocent neighbours just because magufuli's government wants to act stupid.

Escort them back and take away their catch but don't arrest them. Or have them apply for a fishing license with a small application fee just so we know who is fishing in our waters

There are better solutions we can try instead of arresting an innocent neighbor who is just trying to survive
Mzamiaji ni innocent😂😂😂 Pigeni copper ya kichwa😂😂😂
 
Mkae nao ikibidi wanyongeni. Tanzania tulisha sema Mtanzania akishikwa ndani ya nchi nyingine nikazi ya sheria za nchi husika kuhusika nae. Hiyo sio kazi tena ya balozi.
Wakenya Wanatafuta sympath kujaribu ku-substantiate wao kuvua upande wa Tanzania. Ila hilo halitakaa kukubaliwa! Sheria zifuate mkondo!
 
Nyinyi watz ni wanafiki sana.Unafiki wenu unazidi kubainika kwa jinsi mnavyoongea humu. Sasa mkisema wenzenu wauliwe, huu ni uungwana kweli? Wakenya si hayawani kama nyie
Tunasema tekelezeni sheria zenu vile zinavyotaka, acheni makelele mengi.
 
Magufuli alisha sema hivyo. Amewapa go ahead China kunyonga wa TZ walioshikwa na madawa ya kulevya.... We have more important things to do as a government.
Kama kuwapiga wapinzani risasi na kuwanunua waoga?
 
Kama kuwapiga wapinzani risasi na kuwanunua waoga?
Out of topic as usual, Tanzania tuna water bodies za kutosha kuzidi nchi yeyote East Africa, sasa hao jamaa walikuwa wanatafuta nn huko walichokikosa nyumbani?
 
Out of topic as usual, Tanzania tuna water bodies za kutosha kuzidi nchi yeyote East Africa, sasa hao jamaa walikuwa wanatafuta nn huko walichokikosa nyumbani?
The grass is always greener on the other side,
 
Back
Top Bottom