joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
I hope Kenya as a country has got laws and regulations, you must abide to them without fair or fear, otherwise it will be a banana Republic.Kenyan govt gotta stop this nonsense. We can't be punishing innocent neighbours just because magufuli's government wants to act stupid.
Escort them back and take away their catch but don't arrest them. Or have them apply for a fishing license with a small application fee just so we know who is fishing in our waters
There are better solutions we can try instead of arresting an innocent neighbor who is just trying to survive
Magufuli alisha sema hivyo. Amewapa go ahead China kunyonga wa TZ walioshikwa na madawa ya kulevya.... We have more important things to do as a government.Acha longo longo zako wewe, ongea kwa niaba ya wakongomani wenzako. [emoji1]
Nimesha waeleza😂😂😂They think we are kidding. China yenyewe tumewambia mkishika Mtanzania na madawa ya kulevya nyongeni kama sheria yenu inavyosema. Sisi wahalifu hatuna muda wakupotezana nao. Uweni hiyo midude.Mbona hueleweki?, sisi sio watu wa kulialia kama ninyi, sisi tunasema kama mtanzani amevunja sheria za Kenya, shughulikeni naye kwa mujibu wa sheria zenu, wala hatusemi kwamba Kenya ina harass watanzania.
Nina kuhakikisha hii ingetokea wakenya wamekamatwa Tanzania, kelele za "Tanzanian harasses Kenyans", East Africa intergration", Tanzania sabotages Kenya, zisingeisha humu ndani.
Kwani nchi yenu haina sheria na taratibu mlizojiwekea?, tekelezeni sheria zenu kama zinavyowaelekeza, sisi kamwe hatuwezi kuwaingilia, Kenya ni nchi huru.You are so heartless. Life is sacred. We would rather turn them into slaves than kill them
Mzamiaji ni innocent😂😂😂 Pigeni copper ya kichwa😂😂😂Kenyan govt gotta stop this nonsense. We can't be punishing innocent neighbours just because magufuli's government wants to act stupid.
Escort them back and take away their catch but don't arrest them. Or have them apply for a fishing license with a small application fee just so we know who is fishing in our waters
There are better solutions we can try instead of arresting an innocent neighbor who is just trying to survive
Wakenya Wanatafuta sympath kujaribu ku-substantiate wao kuvua upande wa Tanzania. Ila hilo halitakaa kukubaliwa! Sheria zifuate mkondo!Mkae nao ikibidi wanyongeni. Tanzania tulisha sema Mtanzania akishikwa ndani ya nchi nyingine nikazi ya sheria za nchi husika kuhusika nae. Hiyo sio kazi tena ya balozi.
Tunasema tekelezeni sheria zenu vile zinavyotaka, acheni makelele mengi.Nyinyi watz ni wanafiki sana.Unafiki wenu unazidi kubainika kwa jinsi mnavyoongea humu. Sasa mkisema wenzenu wauliwe, huu ni uungwana kweli? Wakenya si hayawani kama nyie
Kama kuwapiga wapinzani risasi na kuwanunua waoga?Magufuli alisha sema hivyo. Amewapa go ahead China kunyonga wa TZ walioshikwa na madawa ya kulevya.... We have more important things to do as a government.
Tanzania sasa hivi tukikamata mwizi toka kenya tunachomq motoDon't make me post the documentary aired today by Citizen tv covering 'Omba omba wa Tanzania' Hawa watu watakufia Kenya Jameni
Out of topic as usual, Tanzania tuna water bodies za kutosha kuzidi nchi yeyote East Africa, sasa hao jamaa walikuwa wanatafuta nn huko walichokikosa nyumbani?Kama kuwapiga wapinzani risasi na kuwanunua waoga?
The grass is always greener on the other side,Out of topic as usual, Tanzania tuna water bodies za kutosha kuzidi nchi yeyote East Africa, sasa hao jamaa walikuwa wanatafuta nn huko walichokikosa nyumbani?
Some people are born accidentaly, they need to be eliminated...You are so heartless. Life is sacred. We would rather turn them into slaves than kill them
The grass is always greener on the other side,
No Melissa. Unless you are referring to yourself. No one comes to this world by accident.Some people are born accidentaly, they need to be eliminated...