jamani tuwe tunafikiria tunapotoa hoja, haya mauaji sio sababu ya walio nacho na wasio nacho, tanzania tu maskini lakini tunapenda wenyewe either kwa njia ya viongozi wetu na sisi binafsi. huwezi ukasema mtu amekosa kazi anakuwa changu, mwizi/kibaka hivi kweli huyo mtu ameshindwa kutafuta kazi? na kazi sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri , angalieni mfano mdogo tu wa waha (watu wa kigoma) msimu wa embe wanavyojaa dar, wakati wengine anaona noma unasubiri mwenzio achume ukaibe. mshahara wa dhambi ni mauti, damu ya hao waliokufa Mungu ataitaka mikononi mwa hao wauaji. Seriou this is tragedy yaani haingii akilini ni exceptional case. Tufanye kazi watanzania sio wote waliofanikiwa wapepata kwa urahisi labda uwe mwizi wa kuvunja nyumba au wa fedha za serikali, tunapenda free lunch au tuna ambition kubwa wakati kitu kama hicho kinahitaji juhudi na muda.