Haruna Malima
Member
- Jun 26, 2009
- 56
- 7
nini kifanyike kubadilisha haya kwa sababu yanaumiza jamii nzima ya Watanzania sio Raia wa Mara pekee
Ingekuwa enzi za mwalimu hawa wote wanasambaratishwa na wanagawanywa katika mikoa mingine 30 ili kupunguza majinamizi ya ukoo na nasaba za kijingajinga!..huh!
nimeangalia mazishi haya kupitia television news loh sijawahi kuona visasi vya namna hii mungu ziweke roho za marehemu pema peponi inatisha sana
Sijui kwa nini lakini sioni kama serikali inalipa uzito unaostahili suala hili. Sijasikia Rais au PM wakitoa tamko na kutueleza hatua wanazochukua! Kupoteza roho za watu 17 kwa sababu yoyote ile haikubaliki.
Musoma ni musoma! na Tarime ni Tarime
..badala ya kupeleka askari Darfur bora tungewapeleka Musoma wakasaidia kazi ya ulinzi.
We Pasco usiwe unaropoka wewe, frank sio DC wa huko na hata kama angekuwa DC wa huko hoja unazotoa hazina mantinki. wewe ni member watu wanasoma article zako wanategemea kupata kitu na si porojo. Acheni kubwabwaja kama huna kazi lala.
jamani tuwe tunafikiria tunapotoa hoja, haya mauaji sio sababu ya walio nacho na wasio nacho, tanzania tu maskini lakini tunapenda wenyewe either kwa njia ya viongozi wetu na sisi binafsi. huwezi ukasema mtu amekosa kazi anakuwa changu, mwizi/kibaka hivi kweli huyo mtu ameshindwa kutafuta kazi? na kazi sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri , angalieni mfano mdogo tu wa waha (watu wa kigoma) msimu wa embe wanavyojaa dar, wakati wengine anaona noma unasubiri mwenzio achume ukaibe. mshahara wa dhambi ni mauti, damu ya hao waliokufa Mungu ataitaka mikononi mwa hao wauaji. Seriou this is tragedy yaani haingii akilini ni exceptional case. Tufanye kazi watanzania sio wote waliofanikiwa wapepata kwa urahisi labda uwe mwizi wa kuvunja nyumba au wa fedha za serikali, tunapenda free lunch au tuna ambition kubwa wakati kitu kama hicho kinahitaji juhudi na muda.
We Pasco usiwe unaropoka wewe, frank sio DC wa huko na hata kama angekuwa DC wa huko hoja unazotoa hazina mantinki. wewe ni member watu wanasoma article zako wanategemea kupata kitu na si porojo. Acheni kubwabwaja kama huna kazi lala.
off point..........umefuka moshi mzito wa kuni mbichi............. Umechemka.................umeropoka yasiyo ya kweli............ Una gubu ..................... Unaleta siasa kwenye vifo visivyo vya kisiasa..............hapo musoma vijijini si wameichagua chadema na ndio sababu ya ccm kuchochea mapigano hayo.teh teh the teh teh.
Nimesema siasa za chedema sio, kila kitu kinachotokea wanajaribu kukiweka ktk siasa.
off point..........umefuka moshi mzito wa kuni mbichi............. Umechemka.................umeropoka yasiyo ya kweli............ Una gubu ..................... Unaleta siasa kwenye vifo visivyo vya kisiasa..............
Hapo musoma vijijini si wameichagua CHADEMA na ndio sababu ya CCM kuchochea mapigano hayo.Teh teh the teh teh.
Nimesema siasa za chedema sio, kila kitu kinachotokea wanajaribu kukiweka ktk siasa.
tumeshindwa kuwasaidia wakurya tukiwa kama watanzania, bado wao wanaamini solution ya kila kitu ni physical engagement!!! we have failed to educate them kuhusu hilo and we shall bear some responsibilities
Halafu Mkama, mimi nilijua Musoma rural na urban ni majimbo ya CCM au nimekosea?