Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliendelea walivaa ngozi za wanyama kipindi hicho. Wale wa madongo kuinama bado walivaa magome ya miti.1868 sijui wazee wetu walikuwa wanavaa vitu gani kwa kweli. Hawa watu wametiacha parefu na hatuonekani kutaka kupunguza hiyo tofauti
Wazee wetu wameanza kuvaa miaka maelfu kabla ya wazungu. Si huwa unaona wamisri wa kale wametupia viwalo, miaka zaidi ya 3000 kabla ya yesu.1868 sijui wazee wetu walikuwa wanavaa vitu gani kwa kweli. Hawa watu wametuacha parefu na hatuonekani kutaka kupunguza hiyo tofauti
Unafahamu kuwa wa Misri wa kale walikua ni weusi, walitumia ma chanjo ya mbao na walisuka mnyoosho na single plate.Wazee wetu wameanza kuvaa miaka maelfu kabla ya wazungu. Si huwa unaona wamisri wa kale wametupia viwalo, miaka zaidi ya 3000 kabla ya yesu.
Wamisri ni habari nyingine mkuuWazee wetu wameanza kuvaa miaka maelfu kabla ya wazungu. Si huwa unaona wamisri wa kale wametupia viwalo, miaka zaidi ya 3000 kabla ya yesu.
Ndiyo namwambia mdau hapo, wamisri weusi wa kale walianza kuvaa nguo kabla hata ya wazungu.Unafahamu kuwa wa Misri wa kale walikua ni weusi, walitumia ma chanjo ya mbao na walisuka mnyoosho na single plate.
Pia Safari ya Mansah Musa kwenda hijja na kugawa dhahabu njiani iliwatia uchizi Wazungu.Na kuna kipindi nguo za pamba kutoka Sokoto empire ya Usman Dan Fodio zilikuwa zinakubalika kwa ubora Africa Kaskazini na ulaya yote. Wafanyabiashara kutoka Morocco walivuka Sahara kuja kuzifuata. Ni moja ya sababu wazungu walitaka kuchunguza bara la Africa kwa undani kujua zinakotoka.