EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom amechapisha kwenye mtandao wa Telegram ikionya kwamba jeshi la Urusi kwa sasa linatafuta wasambazaji wa mafuta wa ‘’jenereta za dizeli, ambazo zinatarajiwa kuwashwa baada ya vitengo vya nguvu za umeme kuzimwa’’.
Inapendekeza jenereta hizi zingehitajika kuweka nguvu zinazotolewa kwa mifumo ya kupoesha kwa mafuta ya nyuklia yaliyotumika.
Kampuni hiyo iliendelea kudai kwamba Warusi wamepiga picha walipokuwa wao wenyewe wanarusha makombora kwenye eneo hilo, kwa lengo la kusambaza picha hizo na kulaumu vikosi vya Ukraine.
Hata hivyo, BBC News imeshindwa kuthibitisha madai haya.
Katika siku za hivi karibuni pande zote mbili zimekuwa zikishutumiana eti upande mwingine unakaribia kufanya ‘’chokozi’’ kwenye kiwanda hicho.
‘’Kwa mara nyingine tena tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua zote muhimu haraka iwezekanavyo ili kuondoa umiliki wa Zaporizhzhya [kinu cha kuzalisha umeme] kwa sababu usalama wa nyuklia na mionzi ya wanadamu wote uko hatarini,’’ kampuni ya