Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Mar 25, 2024 #1 Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. View: https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. View: https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Mar 25, 2024 #2 Pongezi zote kwa Mama Samia kwa kufanikisha hilo.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 4,240 Reaction score 10,561 Mar 25, 2024 #3 Rekebisha heading hiyo 🤔
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Mar 25, 2024 #4 Hii siiamini kabisa
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Mar 25, 2024 #5 Sina hakika sana kama Kuna faida yyt kwa mtu kufariki akiwa na afya njema. Ukimwi upo na unaua anyway
Sina hakika sana kama Kuna faida yyt kwa mtu kufariki akiwa na afya njema. Ukimwi upo na unaua anyway
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Mar 25, 2024 Thread starter #6 ndege JOHN said: Hii siiamini kabisa Click to expand... tuwaulize USAIDS
Mpigania uhuru wa pili JF-Expert Member Joined Apr 12, 2023 Posts 3,380 Reaction score 6,376 Mar 25, 2024 #7 Population ya Tanzania ni kubwa kuliko Uganda