1980s Tanzania tuliaminiwa na Dunia kulinda Amani ya Africa Mashariki, Kati na Kusini sasa nawaona Kenya wanataka kutupora hiyo Fursa!

Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini

Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia migogoro wa DRC na wa Sudan

Tanzania tusikubali 🐼
Namuona William kama msaliti wa serekali za waafrica wenzie.
Namuona Mhuni kama wahuni wengine.
 
Ujinga sio tusi ila huenda nimeandika kitu ambacho sikijui hebu niambie huo ujinga ili nikuwekee na ushahidi.
Uliona jwtz/tpdf ikipambana sambamba na fdlr!?..unaandika ujinga ujinga wako hapa unataka utazamwe tu!?..nenda kwenye forum za watutsi wenzio kama zipo' ukaandike ujinga upendavyo
 
Wanamgambo wa WAZALENDO wako mchanganyiko na FDLR na walikuwa wakipigana sambamba na SAMISADC unajua vikosi vya SAMISADC vinaundwa na Nchi gani?
 
Uliwaona tpdf wakiwa pamoja na fdlr!?..acha kuandika ujinga
 
Mimi nakuuliza uliwaona wakipambana sambamba na fdlr?

Former FDLR fighters open up on collaboration with SADC forces in DRC (Video)​

0 7-02-2025 - saa 23:36, IGIHE

The deployment of Southern African Development Community (SADC) forces in eastern DRC continues to spark debate. While their presence is officially justified as a peacekeeping mission, growing evidence suggests otherwise.

New testimonies from former FDLR fighters and Wazalendo militants indicate that SADC forces are actively supporting these armed groups, supplying them with equipment and reinforcing President Tshisekedi’s broader agenda of destabilizing Rwanda’s leadership.
These accounts come from ex-FDLR fighters who surrendered to Rwanda after suffering repeated defeats in eastern DRC. Realizing they had no future in the conflict, they chose to flee and share their experiences.
The FDLR’s specialized military unit, known as Commando de Recherche et d’Action en Profondeur (CRAP), has been particularly active in these battles, receiving significant backing from the Kinshasa government.
Recently, First Lady Denise Nyakeru Tshisekedi was seen visiting wounded CRAP fighters in the hospital, further confirming the government’s ties to the group terrorist group formed by remnant perpetrators of the 1994 Genocide against the Tutsi.
3-dsc0459_1_-801af-f6e68.jpg
 
Hicho si ni kijarida chenu,hivyo vi-pamphlet vyote nimevipitia,mmeandika watutsi
 
Ndio tulivyotambulika kama Walinzi wa Amani Africa Mashariki Kati na Kusini

Lakini Taratibu namuona Ruto ananyemelea hiyo Fursa mfano Leo kaongea na Marekani na kupewa Maagizo jinsi ya kumalizia migogoro wa DRC na wa Sudan

Tanzania tusikubali 🐼
Raisi Samia yuko na machawa wa comedy bana😂
 
Tuko bize na wasanii na machawa,wakata mauno

Ova
 
Back
Top Bottom