1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Asante kwa ufafanuzi kijana
 
Nchi ambayo ndio source ya mto Nile unaijua?? Au hujui kama source ya mto Nile iko Tanzania na Uganda?? (Lake Victoria)
Maji ya mto unaohusishwa na mgogoro huo siyo ya mto Nile bali ni Blue Nile na chanzo cha mto huo si Uganda na Tanzania bali ni Ethiopia.

Mto Nile ndiyo Chanzo chake kinazihusisha nchi za Tanzania na Uganda.
 
hizo ndege zitatumia base gani..maana umbali kutoka Misri hadi Ethiopia usiuchukulie poa
Kuna baadhi ya wadau wanadai eti Misri wanamiliki air force kubwa sana kuliko nchi yoyote ile barani africa.
 
Egypt wakileta uchuro, Israel na marekani wataingilia. Na namshauri Magu naye awe upande wa Ethiopia cz Misri imezidisha kujimwambafy
Osirak ilikuwa joint strike kati ya israel,iran dhidi ya huo mtambo wa osirak.
Ethiopia na misri history inasema wakush waliwahi kuitawala Egypt,miaka ya nyuma,22 dynasty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…