1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Misiri hana ubavu wa kuishambulia Ethiopia
 
Ethiopia wanavifaa Vingi sana vya kijeshi hasa vifaru vya Israel
Mkuu ongea Kama mtu aliye elimika ,kwa hiyo vifaru vya Israel ndio vita paa kwenye anga ya misri na kushambulia kwa mabomu?
Mm siku zote mm huwa ninasema na nitaendelea kusema, katika huu mgogoro Ethiopia anaoneka Yuko upande wa haki na wana haki ya kutetea haki yao lakini waitetee kwa njia nyingine lakini sio kijeshi kwa sababu hana jeshi la kukabiliana na misri hata robo.
Ethiopia akija kujaribu kutunisha kitua chake mbele ya misri itakuja kuharibiwa vibaya sana na kutujazia wakimbizi hapa.
Na misri akija kuisha mbulia usitegemee ya kwamba kuna mtu yeyote atakaye jaribu kubweka si kwa viongozi wa Afrika wala mabeberu ,atapingwa dunia ikimtizama na haito fanya chochote kwa ajili ya kumsaidia.
 
Inasikitisha sana mkuu na inakera pia.

SWALI: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?
Hapa Jf hakuna atakayeweza kukujibu kwa usahihi hili swali, kwani nchi kuamua kushambulia nchi nyingine kunakuwa na mambo mengi ya kuzingatia. Nadhani pia Ethiopia waliweka mitambo ya kuzuia mashambulizi yanaweza kufanywa na ndege za kivita katika kulinda kulinda hili bwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…