1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Misri hata akifanikiwa kufanya airborne preemptive strike akaharibu walau 60-70%ya ukuta wa bwawa (najua ethiopia siyo wajinga watakua na anti-aircraft missiles hapo za kutosha kulinda hiyo project kwa kuwa wamezika hela nyingi hapo)Ethiopia inaweza kujibu vyote kijesho kwa kushambulia Aswan dam pia ikajibu kijiografia kwa kuchepusha kiwango kikubwa cha maji kupitia miradi mikubwa ya umwagiliaji ambayo yenyewe hata ukiishabulia ni kazi bure kwa kuwa hautazuoa maji yasichepushwe kwenye mabwawa ya umwagiliaji au mashamba makubwa ya umwagiliaji..
Hivyo misri yupo kwenye highy disadvantegeous posn hawezi kuthubutu
 
Mkuu, njia ipi sahihi itumike katika matumizi ya maji ya mto Nile ili uhusiano miongoni mwa nchi za Africa uendelee kuwa mwema na imara?
Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!
 
Mkuu, njia ipi sahihi itumike katika matumizi ya maji ya mto Nile ili uhusiano miongoni mwa nchi za Africa uendelee kuwa mwema na imara?
Lissu anajifanya hajui unafiki wa CHADEMA, aibu atakayopata anaweza akakimbia Nchi.
 
Hakuna lolote hapo. Vita kwa kipi hasa, majuzi tu hapa huko Sudan Blue Nile imejaa na kusababisha mafuriko makubwa. Wataalam wanadai bwawa la Ethiopia halina madhara yoyote, hata Sudan walidhani wataathirika kwa uwepo wa bwawa, kumbe wapi!
 
Labda tugawane kwa uwiano sawa na ukubwa wa nchi husika yanamopita maji.
 
Mkuu, njia ipi sahihi itumike katika matumizi ya maji ya mto Nile ili uhusiano miongoni mwa nchi za Africa uendelee kuwa mwema na imara?
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla.
 
Magufuli tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi.
 
Wajifunze siasa safi km za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…