1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Nimeipenda hii
 
Nafikiri misri wameyafaidi sana maji yetu ya ziwa magharibi! Kama hawakutunza maji ya akiba basi ni makosa yao! Hata na sisi Tz tutayasambaza mikoa yote yenye ukame! Wawe wapole tu ubabe utawaangamiza kabisaa [emoji12]!
 
Nafikiri misri wameyafaidi sana maji yetu ya ziwa magharibi! Kama hawakutunza maji ya akiba basi ni makosa yao! Hata na sisi Tz tutayasambaza mikoa yote yenye ukame! Wawe wapole tu ubabe utawaangamiza kabisaa 😜!
Naskia hao mafarao wana kibri sana katika round table
 
Kama sikosei Rais Trump alisikika akisema Misri inaweza kulilipua hilo Bwawa! Ethiopia ilisema iko tayari kwa lo lote lakini haiwezi kuacha huo mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…