1988 Mwaka wakuzaliwa Diamond & Wema Sepetu

1988 Mwaka wakuzaliwa Diamond & Wema Sepetu

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Diamond Platnumz - Wikipedia, the free encyclopedia

Diamond-zamani.jpg

Wema Sepetu - Wikipedia, the free encyclopedia

WEMASEPETU01.png

snipa
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhh imekua tena ana 26 lollllllll
 
Wema najua kazaliwa mwaka 1988 maana kwenye miss tanzania 2006 akikuwa 18.
 
What next....................................................................................................................:flypig::flypig:
 
Hivi Wema ni mzuri? sijawahi kuuona uzuri wake kwakweli zaidi ya matumizi ya camera 360 ni wakawaida sana sema mbwe mbwe tu..mzee huyu ana 43
 
Wema najua kazaliwa mwaka 1988 maana kwenye miss tanzania 2006 akikuwa 18.

Mbona leo umeni let down, ushahidi haujajitosheleza bana, kwani kwenye ma miss si ndio huwa wanapoanzia kudanganya umri??ama
 
Cheti natafuta mwenyewe RITA baada ya kuzaliwa kwanini nisidanganye umri. Unajikaseja kwenda mbele.
 
Mbona leo umeni let down, ushahidi haujajitosheleza bana, kwani kwenye ma miss si ndio huwa wanapoanzia kudanganya umri??ama

Yani hapa namaanisha hajishtukii anavyodanganya umri mwaka 2006 alikuwa na 18 alafu mwaka 2013 anamiaka 22 haoni aibu? Lulu mwenyewe kaumbuka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom