1988 Mwaka wakuzaliwa Diamond & Wema Sepetu

1988 Mwaka wakuzaliwa Diamond & Wema Sepetu

Kama wewe ni msomaji mzuri wa Wikipedia utagundua kua hiyi biography imeandikwa na kienyeji enyeji so usije ukaiamini kuna articles zingine ata wewe unaeza kujiandikia.
Angalia Ngeli iliyotumika hapo plus utumizi wa lugha.

wikipedia inadanganya tena sana tu mkuu!
Mana wanaandika watu kama sisi tu! Na siwezi ku loose trust kwenye wikipedia!

Tungekuwa Tech & gadget ningekuwekea baadhi ya uongo wao !
 
wikipedia inadanganya tena sana tu mkuu!
Mana wanaandika watu kama sisi tu! Na siwezi ku loose trust kwenye wikipedia!

Tungekuwa Tech & gadget ningekuwekea baadhi ya uongo wao

Inadanganya kwa watu kama wa Tanzania, hiyo article haija andikwa na "mzee wikipedia" mwenyewe, angalia ngeli iliyotumika ni ya kibongo bongo kabisa.
Wikipedia wako vizur sana.
 
Wema najua kazaliwa mwaka 1988 maana kwenye miss tanzania 2006 akikuwa 18.

.
Iangalie kwanza sura hii !
Afu jiulize kama ni sahihi kuwa na 18 years or not !

WemaIsaacSEPETU.jpg
 
.
Iangalie kwanza sura hii !
Afu jiulize kama ni sahihi kuwa na 18 years or not !

WemaIsaacSEPETU.jpg

Si wezi kuguess umri hasa wa teeneger kwa sura labda angekuwa 50 or above its like ukimuona mtoto wa Kajala na Pfunk unaweza gues how old is she?
 
Wema mbona mzee. Diamond ng'ombe hazeeki maini jombaa,jilie vyako.
 
Back
Top Bottom