1995 Kolimba; CCM imepoteza dira, 2026 Nchimbi; Tupambane tupate katiba mpya.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo, msipomsikiliza Nchimbi mnaenda kupotea mazima.

1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla hajatoa maelezo yake mbele ya kikao hicho, akafariki ghafla kwa tatizo la kupumua.

2015, Abdulrahman Kinana alisema "Ndani ya CCM kuna watu wa hovyo, wezi, majambazi na wanafiki”. 2018 akajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM, 2024 akajiuzulu tena, safari hii akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, akasema anapumzika siasa.

2021, Spika Ndugai alisema “kuna siku nchi itapigwa mnada,” Samia akajibu, "Serikali itaendelea kukopa". Agost 6 Ndugai akafariki kwa matatizo ya kupumua.

2025 Julai, Humprey Polepole alisema "siwezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao hauzingatii misingi ya Katiba, haki, maadili, utu na uwajibikaji kwa wananchi", 6 Oktoba 2025 alitekwa.

24 Julai 2026 Emmanuel Nchimbi alitamka “Pambaneni mpate Katiba mpya”, 25 Agosti akatangaza kujiuzulu, tangu siku hiyo hajaonekana.

Viongozi wa CCM wenye mawazo ya busara na wenye vision wanapotezwa na kupuuzwa chama kinaachwa kwa manungayembe kina Wasira na watoto wasiokijua chama kina Kihongosi na hepi wenye kejeli, viburi ni vurugu tupu.
 
Ongezea na hii kauli ya Kinana rafiki na mkombozi mkubwa wa tembo wetu kule Serengeti 😂😂😂

tapatalk_1441624334958.jpeg
 
CCM wangemsikiliza Horace Kolimba kisingekuwa hapa kilipo leo ambapo kimegeuka kuwa genge la mafia.

1995, Horace Kolimba alisema "CCM imepoteza dira", 1997 aliitwa kujieleza Chimwaga, kabla hajatoa maelezo yake mbele ya kikao hicho, akafariki ghafla kwa tatizo la kupumua.

2015, Abdulrahman Kinana alisema "Ndani ya CCM kuna watu wa hovyo, wezi, majambazi na wanafiki”. 2018 akajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM, 2024 akajiuzulu tena, safari hii akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, akasema anapumzika siasa.

2021, Spika Ndugai alisema “kuna siku nchi itapigwa mnada,” Samia akajibu, "Serikali itaendelea kukopa". Agost 6 Ndugai akafariki kwa matatizo ya kupumua.

2025 Julai, Humprey Polepole alisema "siwezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao hauzingatii misingi ya Katiba, haki, maadili, utu na uwajibikaji kwa wananchi", 6 Oktoba 2025 alitekwa.

24 Julai 2026 Emmanuel Nchimbi alitamka “Pambaneni mpate Katiba mpya”, 25 Agosti akatangaza kujiuzulu, tangu siku hiyo hajaonekana.

Mpango, roho yangu bado naipenda9; Pinda, mie ngoja nilime vitunguu; Majaliwa, roho yangu bado naipenda.

Viongozi wa CCM wenye mawazo ya busara na wenye vision wanapotezwa na kupuuzwa chama kinaachwa kwa manungayembe kina Wasira na watoto wasiokijua chama kina Kihongosi na hepi wenye kejeli, viburi ni vurugu tupu.
Unahangaika wewe!
Kwani usipoanzisha thread ukachangia za wengine utapungukiwa nini?
Au Boss atakukata?
 
Nimekwambia mimi nalipwa na mkeo baada ya kuzaa na mama yako.
 
Back
Top Bottom