1995 Toyota Rav4

1995 Toyota Rav4

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari,

Nauza Toyota Rav4 mirango mitano.

Maelezo ya Gari;
BEI: Mil14.0
Mileage: 140k km
CC: 2000
Engine Code: 3S
NEW TYRES/Alloy wheels/No accident/Clean interior/Driver Airbag/COMPREHENSIVE Insurance and so much more.

Naomba unifate kwa DM tujadiri kama mnunuaji wa ukweli.

​
FRONT_RIGHT.jpgBACK_LEFT.jpgFRONT_LEFT.jpg

​
:smile-big:
 
Hi, ni ya mwaka gani. Kuweka bei pia sio dhambi. Biashara huanzia kwenye bei.
 
Hi, ni ya mwaka gani. Kuweka bei pia sio dhambi. Biashara huanzia kwenye bei.

Mwaka wa gari nimeweka kwenye subject kabisa ndugu. Kama unahitaji kununua njoo DM tutajadili bei
 
Hakuna taarifa ya muhimu kama bei, sasa mbona unaifanya siri?
 
How hard is it to DM if you are a serious buyer? I dont display price because that is my way of doing business. Usikariri
 
Wacha weeee, biashara yako ina masharti? Duh haya bana ni nataka jua bei tu ndipo niamue kununua au la
 
Muuzaji ni mgeni wa Forum na inaonekana anauza kwa kudaiwa ndio maana anahasira sana.

Kama huweki bei peleka Gereji kawaambie unauza,watakutafutia wateja.Biashara za kizamani hizo tena kizazi cha analojia.

Angali wenzio wote kwenye Forum wanaweka bei ili iwe rahisi,na usishangai Moderator wakafuta kwa kuweka tangazo bila kulipia
 
Nimejoin Jamii since 2011 wakati wewe uko kijijini hujui internet ndo mnyama gani. Humu mnapenda kuanzishaga debate za kisiasa wakati nia ya kununua gari hamna. Kama kweli unataka gari Direct message me na kama hutaki basi nenda forum ya siasa ukamtukane zitto na nape.

huna kauli ya kuongea na wateja
 
Inategemea hio 2011 nime compare na mwaka gani, just simple maths.
 
DM watu hatupajui, ndio maana tunataka utaje bei hapa!
 
Nishakuandika direct message (DM) mkuu. Naomba tujadiri huko
kama hii gari itauzwa hapa jf niite mie u.mb.wa,
huwezi jibu wateja hivyo..
watu wanataka bei iki waone kama bei inaendana na soko
Jaribu kutembelea Befoward, car juction, SBT, autorec nk ujifunze kitu
 
Back
Top Bottom