ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Hi, ni ya mwaka gani. Kuweka bei pia sio dhambi. Biashara huanzia kwenye bei.
Mwaka wa gari nimeweka kwenye subject kabisa ndugu. Kama unahitaji kununua njoo DM tutajadili bei
Muuzaji ni mgeni wa Forum na inaonekana anauza kwa kudaiwa ndio maana anahasira sana.
Kama huweki bei peleka Gereji kawaambie unauza,watakutafutia wateja.Biashara za kizamani hizo tena kizazi cha analojia.
Angali wenzio wote kwenye Forum wanaweka bei ili iwe rahisi,na usishangai Moderator wakafuta kwa kuweka tangazo bila kulipia
Nimejoin Jamii since 2011 wakati wewe uko kijijini hujui internet ndo mnyama gani. Humu mnapenda kuanzishaga debate za kisiasa wakati nia ya kununua gari hamna. Kama kweli unataka gari Direct message me na kama hutaki basi nenda forum ya siasa ukamtukane zitto na nape.

huna kauli ya kuongea na wateja
DM watu hatupajui, ndio maana tunataka utaje bei hapa!
kama hii gari itauzwa hapa jf niite mie u.mb.wa,Nishakuandika direct message (DM) mkuu. Naomba tujadiri huko