1995 Toyota Rav4

kama hii gari itauzwa hapa jf niite mie u.mb.wa,
huwezi jibu wateja hivyo..
watu wanataka bei iki waone kama bei inaendana na soko
Jaribu kutembelea Befoward, car juction, SBT, autorec nk ujifunze kitu
Pole ndugu mteja na wateja wengine wote nliowakwaza. Nimeamua kubadili approach baada ya kusoma comment zenu. Nimeshaweka bei, natarajia kusikia kutoka kwako sasa. 🙂
 
Hahaha 7mil for a new Rav4 that has a market price of 16mil??? That's why I love Jf
 
7m for a 1995 old model rav 4? to expensive, 14m your asking is for newer models..its no issue though, all the best kwenye biz
 
1995?? AT?? 14m?? Naomba ukiiuza hyo gari, kwa bei hiyo, ulete feedback hapa tafadhali!
 
Inaelekea hujawahi agiza gari; Ngoja nikupe elimu kidogo ya mfano wa gari hio unayosema ya 95... Minimum CIF($3200) + Kodi&Registration (Mil5.3) + Shipping Company fee ($80) + Port Charges (300k) + Comp Insurance (500k) + Clearing fees (250k) alafu unataka kununua kwa Mil7? Acheni siasa watu wanafanya biashara humu jamani. Kama Mil14 kubwa njoo private tuongee na sio kujifanya unajua sana magari. Watanzania tunapenda sana kurudishana nyuma.
1995?? AT?? 14m?? Naomba ukiiuza hyo gari, kwa bei hiyo, ulete feedback hapa tafadhali!
 
ninayo kama hiyo third handed nauza kwa 7.5 manual gear
 
Burudaaaaaniiiiii wana JF kwa malumbano naona wamekutana na Asha Ngedele. Mda si mrefu atakuwa Asha Sokwe. Tehe tehe tehe
 
hakuna unalolijua kaa kimya.. unataka kutokea kwenye migongo ya watu?
 
hakuna unalolijua kaa kimya.. unataka kutokea kwenye migongo ya watu?
Sasa unataka facts ama maneno ya kwenye Khanga.. Usibishanie vitu usivovijua, kipi nlichodanganya hapo sasa? Siku ukijaaliwa pesa agiza gari ndio utajua kama huo mchanganuo hapo ni wa uwongo au wa ukweli.
 
nshakwambia ukiiuza hyio gari urudi hapa utupe feedback; simple!!
Sasa unataka facts ama maneno ya kwenye Khanga.. Usibishanie vitu usivovijua, kipi nlichodanganya hapo sasa? Siku ukijaaliwa pesa agiza gari ndio utajua kama huo mchanganuo hapo ni wa uwongo au wa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…