Huyu ID yake imemaliza kila kitu.
Kwahio gari za miaka mingi Japan zinatolewa bure na TRA wanazipa excemption si ndio?? Acha ushamba wewe. Hizi gari zinauzwa mil16 yard na wenzako wenye pesa wananunua kila siku. Kama huna pesa kapige kazi utafute sio unapoteza muda JF ku'discourage watu na biashara zao.Gari lina almost 15 years. Ni kweli mkuu kwa 14m mmmmnnnnhhhh
Good luck with that!
Kwahio gari za miaka mingi Japan zinatolewa bure na TRA wanazipa excemption si ndio?? Acha ushamba wewe. Hizi gari zinauzwa mil16 yard na wenzako wenye pesa wananunua kila siku. Kama huna pesa kapige kazi utafute sio unapoteza muda JF ku'discourage watu na biashara zao.
Kwahio gari za miaka mingi Japan zinatolewa bure na TRA wanazipa excemption si ndio??nshakwambia ukiiuza hyio gari urudi hapa utupe feedback; simple!!
Nahitaji kujua biashara kuuza gari?Kauli na attitide zako ninadhihirisha kuwa biashara huwezi
Nahitaji kujua biashara kuuza gari?
Inategemea na approach ya mteja, si kila mteja ni mfalme. Wengine humu si wateja so they can't be treated kama watei,ja. Unakuja kwa lengo la kunikosoa unategema nikubembeleze?? U want facts, i give you facts bado unabishana.. Sijaanza leo kuuza gari. Fyi, nina wateja kibao niko nao PM na Mungu akijaalia ntafanya biashara na mmoja wao wakati wewe ukiendelea kulalamika about my attitude. Nishasema, kama huna lengo la kununua gari nenda Forum ya SiasaMkuu biashara kwa attitude hiyo hutauza kitu wala kufanikiwa
Inategemea na approach ya mteja, si kila mteja ni mfalme. Wengine humu si wateja so they can't be treated kama watei,ja. Unakuja kwa lengo la kunikosoa unategema nikubembeleze?? U want facts, i give you facts bado unabishana.. Sijaanza leo kuuza gari. Fyi, nina wateja kibao niko nao PM na Mungu akijaalia ntafanya biashara na mmoja wao wakati wewe ukiendelea kulalamika about my attitude. Nishasema, kama huna lengo la kununua gari nenda Forum ya Siasa
You are right on that one! And you are indeed not a customer. You have no need neither demand for this vehicle.Obviously you are not a businessman/businesswoman
You are right on that one! And you are indeed not a customer. You have no need neither demand for this vehicle.
Yeah rightI'm a potential buyer, but your attitude stinks.
Yeah right