darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Mkuu hayo maelezo ume Copy & Paste au umeandika mwenyewe!TOYOTA HILUX
Year: 1,996
Engine: 2,237Cc
Transmission: AUTO
🤣 🤣 Mkuu ndio useme ukweli hivi 🙌Hapo ukipata wa kumkamata ni 15m.... ! Narudia tena wa kumkamata !
Madalali wapuuzi sana, mnajiongezea tu hela, huenda boss kataka hela ya kawaida nyie mnadabo kwa tamaa ! Fair play hio ni 10m
🤣 🤣 Dah madalali wanakatisha tamaaMkuu hayo maelezo ume Copy & Paste au umeandika mwenyewe!
Hio gari kwenye hizo picha Transmission yake ni AUTOMATIC kweli?
Kigezo gani umetumia kupata hio bei ya kuuzia.
🤣 🤣 Kwamba anaongeza zero auUkiwa dalali uwe smart asee usiwe falafala kabisa,hivi mtu kama wewe hata ukitangaza kitu Cha maana nani atakuamini?
Jitathimini
Na wateja tuseme amina babaMuwe mnawashauri maboss, gari imetengenezwa 1996, imeingia nchini 2008 ikiwa na miaka 12 ya kuendeshwa Japan/Europe namba AQW,nina uhakika kununua na kuitoa bandarini wakati huo haikuzidi milioni 20, imeendeshwa hapa nchini karibia miaka 18 hadi leo 2026, Ina mileage ya kilometer 180,000. Bado mnataka muiuze milioni 32!???, kwasababu ni Hilux Ina sports rims au!?, hata kama ni dalali sio kila bidhaa unapost, nyingine unaacha tu boss ajipambanie wateja wasikukariri vibaya kwamba una tamaa.
Pokea baraka zanguUkiwa dalali uwe smart asee usiwe falafala kabisa,hivi mtu kama wewe hata ukitangaza kitu Cha maana nani atakuamini?
Jitathimini
Hawa madalali sio watu aside... vitu wanapiga dabo dabo ya bei kisa tamaa🤣 🤣 Mkuu ndio useme ukweli hivi 🙌
Wanataka wapate mshindo kwa siku moja tu sio!! 🤔 Sasa hii inapelekea watu kuhofia na mali inakaa kwa mda mrefuHawa madalali sio watu aside... vitu wanapiga dabo dabo ya bei kisa tamaa
🤣 🤣 Madalali Wanataka wapige double mkuu hii ndio bongolandNadhani ungeanza 17m ili wateja ushuke nao huko ulikotangaza ni bei kubwa sana ukiangalia na gari yenyewe jinsi ilivyo...
Mambo ya kudouble amount mkuu 😭Transmission ya hiyo gari kwenye picha ni Auto?!
1996 halafu 32.8m.....
Nimpe pole mwenye gari in advance, maana atasubiri sana!
madalali mnapenda kukwamisha watu mno
Sema sio kosa lao TRA wanaumiza wananchi kwenye kuingiza gari ukitaka kuleta gari kama hiyo utaambiwa kodi zaidi ya 22m ndio maana Tanzania magari chakavu yanaendelea kuuzwa bei kubwa sana kuliko thamani halisi ya gari lenyewe sasa hivi hata minada yao gari zipo bei juu..🤣 🤣 Madalali Wanataka wapige double mkuu hii ndio bongoland